Wanapochukua ardhi na kuua watu kila siku huoni kuwa huo ni uchokozi.Uongo. Lini Wayahudi wamewahi kuanzisha vita popote duniani? Always huaga wanachokozwa, wakijibu kwa ukali mnalalamika. Msiwachokoze tuone kama watashambulia anywhere or anybody. Alaaniwe yule aliye fikiria na kutekeleza lile shambulio la October 07, 2023. Matokeo yake, Lebanoni imeathirika, Gaza yamebaki magofu na sidhani kama kuna Mpalestina atarudi tena pale, baadhi ya defensive system za Iran zimeathirika, rais wa Syria kapinduliwa na watu wengi sana wamekufa just because of fala mmoja aliyesababisha haya yote
Usiwachokoze; maeneo mengi yanayo chukuliwa nao ni baada ya wao kuchokozwa, wakijibu ndio mnaanza kulalamika tena. Hutaki kunyang'anywa eneo lako then usiwachokoze, nje ya hapo utawalaumu tuWanapochukua ardhi na kuua watu kila siku huoni kuwa huo ni uchokozi.
Kuingia masjd aqswa pia huoni ni uchokozi.
Nani aliyechokozwa mwaka 1947,1967,2006,2014,2016,.........2023Usiwachokoze; maeneo mengi yanayo chukuliwa nao ni baada ya wao kuchokozwa, wakijibu ndio mnaanza kulalamika tena. Hutaki kunyang'anywa eneo lako then usiwachokoze, nje ya hapo utawalaumu tu
Huna unacho kijua mkuu; mwaka 1948 walirudi pale wakiwa masikini, hawana mbele wala nyuma; wengi wao walikua wamekimbia KIFO kutoka kule Sobibo, wangeweza vipi kupigana na wenyeji? Katafute historia yao vizuri just in case unataka tuanzie huo mwaka uliouweka mwanzoniNani aliyechokozwa mwaka 1947,1967,2006,2014,2016,.........2023
Huwezi kuwa na historia tofauti na ukweli unaojulikanaHuna unacho kijua mkuu; mwaka 1948 walirudi pale wakiwa masikini, hawana mbele wala nyuma; wengi wao walikua wamekimbia KIFO kutoka kule Sobibo, wangeweza vipi kupigana na wenyeji? Katafute historia yao vizuri just in case unataka tuanzie huo mwaka uliouweka mwanzoni
Sasa kama waliuziwa au walirubuniwa why umedanganya kwamba walipigana? Achana na hilo la middle east, unajua Kibaha? Wapare walikuja pale mwishoni mwishoni mwa miaka ya 80 na mwanzoni mwa miaka ya 90, eneo lilikua tupu, wakauziwa na wenyeji; walikuja wengi tu kutoka Same; leo Kibaha ni kama sehemu ya Same; walitumia akili zao na wakafanikiwa. Uongozi wote wa Kibaha kwasasa ni wa kwao, hakuna Mzalamo pale; Same as Kimara na Wachagga. Je nao walaumiwe? Acha kuwachokoza, ukowachokoza tayari sasa hvi wana nguvu za both money and military, huwawezi tena. Waishi nao kwa kutulia kama walivo fanya Wapalestina wa West Bank, mbona wao hawasikiki wakipigana nao? Wamekubali kuishi pamojaHuwezi kuwa na historia tofauti na ukweli unaojulikana
Inajulikana waliwezeshwa na watu wa mataifa mengine walikowahi kukimbilia ikiwa ni njia ya kuwafukuzo huko kwa kuwachoka.Na kwa fedha walizokuwa nazo wakaanza kuwarubuni wapalestina wakaingia nao makubaliano na wengine wakawauzia.Hapo ndipo wapalestina walipokosea ,
Wapalestina waliposhtuka tayari walikwishazingirwa na adui aliyekuw na silaha zaidi kuliko zao na hata walipojaribu kudai chao kwa mujibu wa makubaliano walitolewa kwa mbali kwa njia hizi hizi za kuvunja makubaliano na kutumia ubabe.
Ukisoma vizuri maelezo yangu ni kuwa kuuziana ilikuwa sio suala la mwanzo.Makubaliano ya ushirika ndio la mwanzo ambalo baadae waliwageuzia kibao.Pia kulikuwa na njama kutoka nje zilizokuwa juu ya uwezo wao wapalestina.Yote mawili ni mambo haramu ambayo lazima ukigundua lazima uanze kudai chako na nchicho wanachofanya wapalestina na watoto wa kipalestina.Sasa kama waliuziwa au walirubuniwa why umedanganya kwamba walipigana? Achana na hilo la middle east, unajua Kibaha? Wapare walikuja pale mwishoni mwishoni mwa miaka ya 80 na mwanzoni mwa miaka ya 90, eneo lilikua tupu, wakauziwa na wenyeji; walikuja wengi tu kutoka Same; leo Kibaha ni kama sehemu ya Same; walitumia akili zao na wakafanikiwa. Uongozi wote wa Kibaha kwasasa ni wa kwao, hakuna Mzalamo pale; Same as Kimara na Wachagga. Je nao walaumiwe? Acha kuwachokoza, ukowachokoza tayari sasa hvi wana nguvu za both money and military, huwawezi tena. Waishi nao kwa kutulia kama walivo fanya Wapalestina wa West Bank, mbona wao hawasikiki wakipigana nao? Wamekubali kuishi pamoja
Hata na wewe usiache kuwaogopa.Kwani tumeambiwa kwa tabia zao tusiwakaribie.
daima wana vita na Mungu
Kaka, mimi na wewe hatujui vizuri historia za hao watu but I want to tell u for sure, Wapalestina na Wayahudi wanajuana karne kadhaa huko kabla ya Yesu, wamepigana, wameuana sana. Labda nikupe homework, kwanini ile podium ambayo hutumika na mkuu wa taifa la Wayahudi (kwasasa Netanyahu) ina nembo ya King David? Ya kwetu ina ngao ya bibi na bwana plus pembe za ndovu, now why ya kwao ina King David? Ukipata hilo jibu, utaacha ubishi wako usiokua na maana yoyoteUkisoma vizuri maelezo yangu ni kuwa kuuziana ilikuwa sio suala la mwanzo.Makubaliano ya ushirika ndio la mwanzo ambalo baadae waliwageuzia kibao.Pia kulikuwa na njama kutoka nje zilizokuwa juu ya uwezo wao wapalestina.Yote mawili ni mambo haramu ambayo lazima ukigundua lazima uanze kudai chako na nchicho wanachofanya wapalestina na watoto wa kipalestina.
Walichofanya wachaga na wapare hapo Kibaha na Kimara ni tofauti kidogo.Kwanza ardhi ilikuwepo ya kumwaga na hawakuhamisha wenyeji wala kuwatoa kwa nguvu.Na hawakuja kwa njama ili kufanya mambo ya kichokozi hapo baadae kama ilivyo mayahudi ambao walipanga kudai Alaqswa ambayo ni nembo ya kiimani ya waislamu.
King David ni nani kwao.Kaka, mimi na wewe hatujui vizuri historia za hao watu but I want to tell u for sure, Wapalestina na Wayahudi wanajuana karne kadhaa huko kabla ya Yesu, wamepigana, wameuana sana. Labda nikupe homework, kwanini ile podium ambayo hutumika na mkuu wa taifa la Wayahudi (kwasasa Netanyahu) ina nembo ya King David? Ya kwetu ina ngao ya bibi na bwana plus pembe za ndovu, now why ya kwao ina King David? Ukipata hilo jibu, utaacha ubishi wako usiokua na maana yoyote