Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Soma historia usiishie kusikia,kuna wanaosema islam ilianzishwa na Kanisa karne ya 7 a.d. baada ya dola ya kirumi ya east kuanguka, nilikuwa nalibishia hili lkn naanza kushawishika, ila sijajua Kanisa lilikuwa na lengo gani kwa kuanzisha islam? …
Soma historia usiishie kusikia,kuna wanaosema islam ilianzishwa na Kanisa karne ya 7 a.d. baada ya dola ya kirumi ya east kuanguka, nilikuwa nalibishia hili lkn naanza kushawishika, ila sijajua Kanisa lilikuwa na lengo gani kwa kuanzisha islam? …
Imeisha hiyo, tunaenda kuongea na kichwa cha nyoka
Hawa vilaza wa TEC hapa ni kula kibano mwanzo mwisho
Nenda kwenye browser yako alafu andika Vatican News utaelewa kituWavaa magauni wa hapa bongo leo watashinda sana bafuni kupiga nyeto kwa hasira wahuni wale
Soma historia usiishie kusikia,
Hizo dini zimeanza mbali kabla ya kristo,
Anzia huko ndio uje na conclusion nani ni baba wa mwenzie.
Hivi mnasomaga Bible au mnasubiri tafsiri ya mstari mmoja kila Sunday?
Mkuu vp tena mmeenda kuwapigia magoti waimba kwaya? Imekuaje tenaNa bandarini kule DP World inazidi kuwakazia waimba kwaya basi hasira ndo zinazidi kugonga vichwa vyao
Teh teh teh
THE BIG SHOW Malaria 2 omgeeni na jamaa, wanaenda kufanya nini tena hapo?Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha.
Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Vatican, kuwasilisha ujumbe wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Balozi Kombo amekutana na Papa Leo XIV, leo Jumatano Januari 28, 2026 saa chache kabla ya Katekesi ya kiongozi huyo wa kiroho Vatican.
Katika hatua nyingine, Balozi Kombo na ujumbe wake ulikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Vatican, Askofu Mkuu, Paul Gallagher, ambaye pamoja na mambo mengine amewasilisha wito rasmi kutoka kwenye Ukulu Mtakatifu kwa Tanzania kufungua ubalozi Vatican. Kwa sasa Tanzania inawakilishwa kutokea Ujerumani.
View attachment 3535638View attachment 3535639