Who cares, haya majamaa yaliyoenda huko yote yana elimu ya darasani lakini no critical thinking. Waandae barua kwenda ICC. Jamaa wa Madrid na SA na UK wamejiandaa ile mbaya. Papa hawezi badiri upepo. Jipangeni niye watu wa nguo zinazofanana na alizeti. Kipindi hiki kimewaramba.
 
Sio mbaya hata yesu alimuombea yule mwanamke mtenda maovu na kumkingia kifua.
Ila haibadilishi UKWELI waliua
 
Hao wa huko wameoa? Kwa akiilli yako hao viongozi watasilizwa sana na Vatican kuliko viongozi ww RC hapa Tanzania?
Kuanzia machawa mpaka viongozi wao wote wamechanganyikiwa. Hapa bongo kwenyewe waziri mkuu alimuita kitima waongee.
 
Imeisha hiyo, tunaenda kuongea na kichwa cha nyoka
Hawa vilaza wa TEC hapa ni kula kibano mwanzo mwisho
Machawa na viongozi wenu wote akili zimeyumba. Waziri mkuu alimuita kitima waongee, mkaifanya habari kubwa mkapiga picha za kutosha media zote mkasambaza. Hamjui hata mnashika lipi
 
Serikali haiongei na hawa wanuka mikojo wa hapa wasio na mbele wala nyuma

Inaongea na mwenye mbwa
Mkuu kanisa katoliki ni dude kuubwa duniani, umeona serikali haramu imeenda kubembeleza uhusiano, jiulize kwann hao viongozi hawakwenda maka?!
 
 
Mnajitungia maneno!
Watanganyika hatutasahau Mauaji ya okt.29-31
Isitoshe Papa siyo Mungu hata asikilizwe kuliko Watanganyika ambao bado wanaomboleza!
 
Tec mmefanya kazi nzuri, Endeleeni kifinyaaa. Hahaha 😂 mpaka miguu ya kombo ipasuke sagamba kwa kutembea na kupeleka ujumbe
 
Mnajitungia maneno!
Watanganyika hatutasahau Mauaji ya okt.29-31
Isitoshe Papa siyo Mungu hata asikilizwe kuliko Watanganyika ambao bado wanaomboleza!

Inashangaza sana wanaenda kila mahali. Juzi Samia aliwaomba msamaha mabalozi, huyu Kombo anazurura lobbying USA, Ulaya wasiwekewe vikwazo, mara Vatican, Brussels.

Lakini Watanganyika waliowaua, kuwaumiza na kuwapora haki zao wala hawana habari nao. Wanaendelea kuwadharau na kuwakejeri.
 
Shetani anahangaika kweli. Kwa kufika Vatican anaona amewin!! Vatican haisubiri kupata taarifa kutoka kwa matapeli wa kisiasa. Vatican inapata taarifa zote kikamilifu kutoka kwa balozi wao ambaye ni shuhuda wa ushetani wote unaotendeka nchini.
Papa siyo mwanasiasa, pamoja na kujua ucjafu wote, jibu lake limekuwa fupi, kuwa ataiombea Tanzania apate amani. Je, anaomba Mungu afanye nini dhidi dhidi ya wadhulumaji na wauaji wa binadamu, waliosababisha watu waishi bila amani, anajua muombaji, na mwamuzi wa mwisho ni Mungu. Papa siyo sawa na wale mashekhe ubwabwa wa kuropoka hovyo, waliokosa akili, upeo na hekima.
 
Huyu Kombo kajipa kazi ya kusafisha uchafu usioweza kusafishika.
Dunia haiishi kwa kutegemea ulaghai; utapeli na unafiki na "uswahili" mwingi!.

Na njia pekee ya Tanzania kuwa na amani na utulivu, ni kuiombea hawa waovu walioshikilia madaraka waondoke au waondolewe.
Tanzania hapawezi kuwa na amani na utulivu wakati waovu hawa wakiwa miongoni mwetu.
 
Mazafakas wanatapatapa sana baada ya kutindiganya mambo. Walionywa mapema wakajifanya smartasses!
 
na wewe pia una Biblia nini nyumbani kama muslims wenzako wa tanzagiza kwa maana wote wana Biblia nyumbani kwao lkn hakuna Christian hata anayejua msaafu wenu unanonekanaje …
Ndio Bible ipo kichwani kabisa,
wewe unatoa hoja kuhusu Islam ambao huufahamu.
Soma Uislam ndio uanze kukosoa, usikosoe kutokana na chuki mnazopandikizwa tu na viongozi wako.
Uislam hauna shida na dini nyingine wala haukulazimishi kuuamini as long as huathiri anaeamini kutekeleza ibada zake.
Muislam wa kweli hana chuki na asiekuwa muislam na ameamrishwa kuishi nae kwa wema na kutoa haki bila kubagua kwa kigezo cha Dini.
Amkeni acheni chuki dhidi ya Uislam, lakini kwa bahati nzuri chuki hizi tumefafanuliwa vyema ndi ya kitabu chetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…