Papa Leo: Siogopi utawala wa Trump. Nazungumzia Injili, mimi si mwanasiasa

Vizuri ukashare na tangible reference,ila kwa Iran hata baadhi ya Majenerali akiwemo Gen Clark, hajui why US anataka kuipiga Iran.
Km US anawatuhumu Iran Kupitia IRGC kuwa Wana fadhili ugaidi, na Iran nao wanawatuhumu US Kupitia CIA Wana fadhili ugaidi

Huoni Wote watuhumiwa ?
 
Km US anawatuhumu Iran Kupitia IRGC kuwa Wana fadhili ugaidi, na Iran nao wanawatuhumu US Kupitia CIA Wana fadhili ugaidi

Huoni Wote watuhumiwa ?
Sijui upo dunia gani, BBC hiyo.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Z51MTI9sbFY&t=32s&pp=ygUfU2VjcmV0IG9wZXJhdGlvbiBvZiBVUyBpbiBZZW1lbg%3D%3DHaya Congresses.

View: https://m.youtube.com/watch?v=DLQc2dYikyU&pp=ygUbVVMgcGF5IHRhbGJhbiBhbmQgQWwgUWFlZGEg
Sio tuhuma kwa US ndio ukweli wenyewe hamna tuhuma wao wenyewe wanafadhili ugaidi.
 
Kumbe tunakubaliana wote hao ni magaidi na wafadhili ugaidi
Mimi bado sijakubali wewe au wapi nimekubaliana na wewe kwamba Iran ni magaidi ,wewe kama unamini weka tangible reference, tuache ngonjera na kujaza server za JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…