Papa Sylvester alisoma madrasa. Alifuzu somo la hesabati

Acha kudanganya watu wewe. Usifikiri wote humu ni watu wa kulishwa upepo.
Sina muda wa kujibizana, nimechangia ili kukusaidia, sasa kama umeamua kuukumbatia ujinga na kucheza nao blues, huo ni uchaguzi wako
Kama umechagua kukimbia nenda!.
Huo ukweli wala si wa kutungwa na unajulikana na hata wenzako ambao si wanafiki kama wewe.
Msikilize mfalme Charles hapo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=1YhTS7Ccumc
 
Chuo kikuu kikongwe zaidi duniani ambacho kinaendelea kutoa elimu ni kile kilichopo barani Afrika, nchini Morocco na ambacho kilianza msikitini(masjid) na kuendeshwa kwa mfumo wa madrasa.

Chuo kikuu hicho kilijengwa na bi Fatma kikiambatana na msikiti wakati wa ukhalifa wa Abbasiya ambao ulitawala mashariki ya kati, Ulaya na Afrika. Ukhalifa huo na watangulizi wao walitilia umuhimu mkubwa masuala ya elimu na hivyo kurithisha fikra hizo kwa kila watu wa eneo fulani.

Miongoni mwa wanafunzi wa chuo hicho ni papa Sylevester (2).Somo lililomvutia zaidi ni hesabu wakati huo Ulaya ikiwa haijui hata kuhesabu machungwa.

Mfumo wa kuhesabu hasa kwa kutumia kifaa cha Abacus alichojifunzo kutoka walimu wa chuo cha Alqarawiyen ulimfanya aonekane kama ni mchawi na hiyo ikawa ndiyo sababu ya Ulaya nzima kujifunzo na kuanza kuhesabu kutoka kanisani kwake.

Mahesabu mengine magumu na elimu ya astronomy alichukua kutoka dola ya kiislamu ya Andalasia.

Pamoja na kuwa chuo cha kwanza lakin bado mpaka leo mwarabu hajavumbua chochote ajabu sana
 
Kama ni uvumbuzi ni ule uliofanyika asili.Hizi nyengine ni mwendelezo wa elimu basi.
Teknolojia zote muhimu zimeanza kwa waislamu wa Spain,Iraq,Iran,Syria na kwengineko.
Unajua kwamba vituo vya mwanzo vya uchunguzi wa anga vilikuwepo Syria,Baghdad na Uzbekistan.
Galileo alitumia darubini za waislamu na kuchunguza aliyoyasoma kwa waislamu.dunia kwamba ni sayari ya jua ni waislamu ndio walioliweka sawa baada ya kuona mkorogeko wa mawazo wa Ptolemy na aristotle
 
Sasa mbona hatuoni matokeo ya ujuzi huo wa hisabati Kwa waarabu?

Mabingwa wote wa sayansi na hesabu ni mayahudi au wazungu Wala sioni mwarabu!
 
Swali langu liko palepale imekuwaje mmebaki mbumbumbu pamoja na kuanzisha vyote hivyo. What went wrong mpaka mkakimbilia elmu ahera sheikh. Bure kabisa
 
Ni kutokana na vita baridi vya kutuwekea vibaraka kututawala.Pamoja na hivyo kazi inaendelea baada ya baadhi yetu kuzinduka,Ndio maana huna cha kumwambia Iran eti awache mradi wa kurutubisha nyuklia kwa visingizio vya kijinga,
 
Iran huyu huyu anaeitegemea teknolojia ya mrusi na korea sio. Huwez kusoma elim ahera ukavumbua chochote wewe. Utabaki kuwa kilaza tu. Na kuongea ongea tu.
 
Q
Ni heikima za Allah za kukuzindua akina wewe.
Ni kweli hakujua kusoma wala kuandika lakini kwenye Qur'an kuna mahesabu ambayo hata walimu wake lazima wapewe semina kwanza kuweza kuzielewa
Hizo hesabu ndizo zilizofanyiwa kazi na waislamu na kugundua mambo mengi ya kisayansi mpaka yakamfikia akina Papa Sylvester.
Quran ni kazi ya wakatoliki usidanganywe
 
Chuo kikuu kikongwe zaidi duniani ambacho kinaendelea kutoa elimu ni kile kilichopo barani Afrika, nchini Morocco na ambacho kilianza msikitini(masjid) na kuendeshwa kwa mfumo wa madrasa.

Chuo kikuu hicho kilijengwa na bi Fatma kikiambatana na msikiti wakati wa ukhalifa wa Abbasiya ambao ulitawala mashariki ya kati, Ulaya na Afrika. Ukhalifa huo na watangulizi wao walitilia umuhimu mkubwa masuala ya elimu na hivyo kurithisha fikra hizo kwa kila watu wa eneo fulani.

Miongoni mwa wanafunzi wa chuo hicho ni papa Sylevester (2).Somo lililomvutia zaidi ni hesabu wakati huo Ulaya ikiwa haijui hata kuhesabu machungwa.

Mfumo wa kuhesabu hasa kwa kutumia kifaa cha Abacus alichojifunzo kutoka walimu wa chuo cha Alqarawiyen ulimfanya aonekane kama ni mchawi na hiyo ikawa ndiyo sababu ya Ulaya nzima kujifunzo na kuanza kuhesabu kutoka kanisani kwake.

Mahesabu mengine magumu na elimu ya astronomy alichukua kutoka dola ya kiislamu ya Andalasia.

Tumuulize Jakaya Mrisho Kikwete utamu wa shule za kikristu.
 
Sasa mbona hatuoni matokeo ya ujuzi huo wa hisabati Kwa waarabu?

Mabingwa wote wa sayansi na hesabu ni mayahudi au wazungu Wala sioni mwarabu!
Al-Khwarizmi
Omar Khayyám
Mojawapo ya wagunduzi wa hisabati
Hisabati ina historia ndefu sana kutoka katika kila jamii. Hisabati ni maisha, hata jamii za kiafrika walitumia hisabati kabla waarabu na wazungu kuingia Afrika.
 
Kipi hasa walichovumbua kikaitikisa dunia? au ndo walioweka idadi kamili ya mabikra baada ya kifo?

Niulize kuhusu sunday school na sio madrasa
Huijuwi madrassa kijana. Mabingwa wa hesabu zenye maana kwako leo hii, walitokea madrasa.

Hivi nini maana ya madrasa?
 
Hesabu unazozijua wewe zimeanza madrasa na papa naye alijifunza huko huko
Kwani elimu ya Madrasa na Ile Sayansi ya enzi za Firauni zilizotumia Geometry ya hali ya juu kujenga Pyramids ipi ilitangulia???
 
Somo la historia ya dunia na hivyo unavyovijua usingeweza kuvijua kama si nidhamu ya elimu ya kiislamu.Hakuna aliyevijali wala kuvitunza kabla ya kuja waislamu na kuvikushanya pamoja pale baghdad halafu wakaviandika kwa lugha ya kiarabu kabla kutafsiriwa kwa kilatini.Kumbuka hakukuwa na lugha ya kiengereza wala kifaransa enzi hizo.
Kwa hivyo unapojidai kusimulia mambo ya wakati wa Firauni na wagiriki wa mwanzo usingeweza kuwajua kabisa kabla kuwekwa nidhamu ya kihistoria kimaandishi kwenye maktaba.
 
Vipi na kuhusu Tourat, Injil na Zaburi nazo zilikuwa katika lugha ya Kiislamu (Kiaarabu) kwanza ndo baadaye vikatafsiriwa kwenda Kiebrania, Kigiriki na Kilatini??? kwamba enzi za Musa na zama za Yesu uislamu ulishakuwa na vyuo vyake???
 
Back
Top Bottom