Papa Sylvester alisoma madrasa. Alifuzu somo la hesabati

Papa Sylvester alisoma madrasa. Alifuzu somo la hesabati

Enzi zipi hizo unazokumbuka wewe? Kwenye fani uliyosoma unamkumbuka Mwislam yupi ambaye ulijifunza principles zake?
Itakuwa seyyid said law of capturing slaves๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
kwa vile umeshindwa kupinga kwa ushahidi ni dalili umekubali kuwa papa alisoma Morocco kwenye madrasa ya waislamu.
Umuhimu wake ni kuwa papa alijua thamani ya elimu kuliko akina nyinyi mpaka akaifuata kwa waislamu;
Umuhimu wa pili ni kuwa ujue kuwa waislamu ndio waalimu wa wazungu munaowaabudu.
Alisoma ujinga gani huko Moroca. Acha kijipa matumaini hewa
 
Hesabu mzee wangu mpaka za chuo kikuu ni uvumbuzi wa waislamu.
Zimeendelezwa na kubadilika kulingana na wakati lakini muhimu nyingi zimebaki kama zilivyokuwa.
Yaani. Hata mashine ya kukamulia mafuta huko kwa waarabu (mpaka wanakuwa matajiri) inatumia mahesabu ya mzungu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
And the hunters were Arabs pretending to spread Islam
Not at all.
The slave ship was functioning in Western Africa ,The hunters were solely the europeans themselves under the umbrella of christianity.
 
Alisoma ujinga gani huko Moroca. Acha kijipa matumaini hewa
Mbona kinyungu umechanganyikiwa kiasi hicho
Papa Slvester hakusoma ujinga.Alisoma hesabu na akawafundisha watu wa Ulaya kupitia kanisani kwake.
 
Halafu mkafika wapi.
Uliza tukafika wapi
Ndio hapa leo tuna computer na Microsoft ambazo zilianza na Algorithm (Alkhwarizm) kutokana na mvumbuzi wa hesabati aitwaye jina hilo.
 
Eva ndo Hawaa ila kwa wizi tu mudi na mkalimani wake walifanikiwa kacopy na kupaste vya kwenye biblia wafuasi mpo busy kulazimisha ni vyenu daah
Eva ndio nani?

Sisi tunamtambua Hawaa, na sio eva
 
Mkuu,

Mimi ninataka kujifunza jambo haswa kulingana na chimbuko halisi la dini ya Islam. Hii itatupa picha halisi bila kuwa bias ni nani walikuwa waanzilishi wa mwanzo kabisa wa hesabu katika karne nyingi sana zilizopita.

Sina shaka na Misri ya zamani maana mambo makubwa ya kihistoria yamefanyika huko, hesabu pamoja na maandishi ya kale pia.

1. Je, ni kweli Islam ilikuja baada ya Mtume Muhammad (saw) kuzaliwa?, au ni dini iliyokuwepo tangu awali hata kabla ya kuzaliwa kwa mtume?

2. Quran kama kitabu cha muongozo kwa Muslims, kiliteremshwa kipindi cha Muhammad (saw), au ni kitabu kilicho kuwepo karne nyingi kabla ya kuzaliwa kwa mtume?.

3. Mwisho kabisa, Islam kama dini ilianza karne ya ngapi, na hizi hesabu zinazo zungumziwa zilikuwepo Misri ya zamani na Mashariki ya mbali zilianza karne ya ngapi?.

Natanguliz shukran.
Nakujibu kama ifuatavyo

1) Uislam ulikuwepo kabla ya Mtume Muhammad ajazaliwa

Qurani 42:13
- Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.

Hapo mtume Muhammad anaambiwa hi dini ya uislam yeye sio wa kwanza mitume wote waliomtangulia walikuwa waislam

Na hapa wengi huwa mnachanganya Muislam wa kwanza Kwa wanao ifuata Quran ni mtume Muhammad

Ila waislam wa kwanza Duniani kabla ya Mtume Muhammad wapo wengi


2) Allah ameleta vitabu 4 hapa Duniani
Taurati amepewa nabii Musa
Zaburi amepewa nabii Daudi
Injili amepewa nabii Isa
Quran amepewa nabii Muhammad

Hivyo basi Muhammad Saw ndio mtume wa mwisho na Quran ndio kitabu Cha mwisho


3) Hesabu duniani zilikuwepo za aina nyingi hata mababu zetu wa hapa Tanzania naamini walikuwa na hesabu zao

Ila hasabu kuu hapa Duniani ni za aina 2 Yani za Kirumi na ndio hesabu za kwanza hapa Duniani na za Kiarabu Yani algebra

Hesabu za Kirumi zilifeli Kwa sababu hazinyumbuliki Yani hauwezi kutumia hesabu za Kirumi kufanya Calculation kubwa kubwa

Hesabu za Aljebra ndio zikafiti Kila sehemu na Kila aina ya Calculation hesabu hizi waanzilishi ni wasomi wa Misri Kwa msaada wa Quran katika miaka 830



The word "algebra" is derived from the Arabic word ุงู„ุฌุจุฑ al-jabr, and this comes from the treatise written in the year 830 by the medieval Persian mathematician, Al-Khwฤrizmฤซ, whose Arabic title, Kitฤb al-muแธซtaแนฃar fฤซ แธฅisฤb al-ฤŸabr wa-l-muqฤbala, can be translated as The Compendious Book on Calculation by Completion

Source website ya Cambridge university
 
Hata ingeitwa Holy Ghost haiondo ukweli kuwa Muhamad was a slave trader, alimiliki, kuteka na kuuza watumwa
hakuna ukweli huo.
wakristo mungemfuata Yesu kweli usingekuwa mzushi
ndio maana mlifanya biashara haramu kwa kutumia jina lake
 
hakuna ukweli huo.
wakristo mungemfuata Yesu kweli usingekuwa mzushi
ndio maana mlifanya biashara haramu kwa kutumia jina lake
Kwamba unapinga jamaa hakujihusihsha na hayo mambo?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kwamba unapinga jamaa hakujihusihsha na hayo mambo?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Yesu hawezi kufanya mambo ya kijinga na kikafiri ya kuuza watu na ndugu yake Muhammad saw pia hawezi kufanya upuuzi wowote.
wakristo wa sasa mumekosa heshima sana na mitume wa Allah.
 
Chuo kikuu kikongwe zaidi duniani ambacho kinaendelea kutoa elimu ni kile kilichopo barani Afrika, nchini Morocco na ambacho kilianza msikitini(masjid) na kuendeshwa kwa mfumo wa madrasa.

Chuo kikuu hicho kilijengwa na bi Fatma kikiambatana na msikiti wakati wa ukhalifa wa Abbasiya ambao ulitawala mashariki ya kati, Ulaya na Afrika. Ukhalifa huo na watangulizi wao walitilia umuhimu mkubwa masuala ya elimu na hivyo kurithisha fikra hizo kwa kila watu wa eneo fulani.

Miongoni mwa wanafunzi wa chuo hicho ni papa Sylevester (2).Somo lililomvutia zaidi ni hesabu wakati huo Ulaya ikiwa haijui hata kuhesabu machungwa.

Mfumo wa kuhesabu hasa kwa kutumia kifaa cha Abacus alichojifunzo kutoka walimu wa chuo cha Alqarawiyen ulimfanya aonekane kama ni mchawi na hiyo ikawa ndiyo sababu ya Ulaya nzima kujifunzo na kuanza kuhesabu kutoka kanisani kwake.

Mahesabu mengine magumu na elimu ya astronomy alichukua kutoka dola ya kiislamu ya Andalasia.

Mshaanza story za kutunga wazee wa dozi mara tano kwa siku ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ....Na adithi zenu za kudanganyana kwenye msikiti wa mtambani..!!
Tangu lini Moor's ambao ni watumwa wa waarabu wakawa wanajua hesabu.
Mnapenda kujifariji.....mradi tu mjishindanishe na wagalatia ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‹
 
Back
Top Bottom