Wajerumani walipoingia Tanganyika hawakupata watu wa kuandika mahesabu ya kodij isipokuwa watu wa madrasa.
ππππ Sijui anadhani anaandikia watu gani huyu hahahaKupata kichekesho hiki piga namba *102#
Kama umechagua kukimbia nenda!.Acha kudanganya watu wewe. Usifikiri wote humu ni watu wa kulishwa upepo.
Sina muda wa kujibizana, nimechangia ili kukusaidia, sasa kama umeamua kuukumbatia ujinga na kucheza nao blues, huo ni uchaguzi wako
Pamoja na kuwa chuo cha kwanza lakin bado mpaka leo mwarabu hajavumbua chochote ajabu sanaChuo kikuu kikongwe zaidi duniani ambacho kinaendelea kutoa elimu ni kile kilichopo barani Afrika, nchini Morocco na ambacho kilianza msikitini(masjid) na kuendeshwa kwa mfumo wa madrasa.
Chuo kikuu hicho kilijengwa na bi Fatma kikiambatana na msikiti wakati wa ukhalifa wa Abbasiya ambao ulitawala mashariki ya kati, Ulaya na Afrika. Ukhalifa huo na watangulizi wao walitilia umuhimu mkubwa masuala ya elimu na hivyo kurithisha fikra hizo kwa kila watu wa eneo fulani.
Miongoni mwa wanafunzi wa chuo hicho ni papa Sylevester (2).Somo lililomvutia zaidi ni hesabu wakati huo Ulaya ikiwa haijui hata kuhesabu machungwa.
Mfumo wa kuhesabu hasa kwa kutumia kifaa cha Abacus alichojifunzo kutoka walimu wa chuo cha Alqarawiyen ulimfanya aonekane kama ni mchawi na hiyo ikawa ndiyo sababu ya Ulaya nzima kujifunzo na kuanza kuhesabu kutoka kanisani kwake.
Mahesabu mengine magumu na elimu ya astronomy alichukua kutoka dola ya kiislamu ya Andalasia.
Kama ni uvumbuzi ni ule uliofanyika asili.Hizi nyengine ni mwendelezo wa elimu basi.Pamoja na kuwa chuo cha kwanza lakin bado mpaka leo mwarabu hajavumbua chochote ajabu sana
Swali langu liko palepale imekuwaje mmebaki mbumbumbu pamoja na kuanzisha vyote hivyo. What went wrong mpaka mkakimbilia elmu ahera sheikh. Bure kabisaKama ni uvumbuzi ni ule uliofanyika asili.Hizi nyengine ni mwendelezo wa elimu basi.
Teknolojia zote muhimu zimeanza kwa waislamu wa Spain,Iraq,Iran,Syria na kwengineko.
Unajua kwamba vituo vya mwanzo vya uchunguzi wa anga vilikuwepo Syria,Baghdad na Uzbekistan.
Galileo alitumia darubini za waislamu na kuchunguza aliyoyasoma kwa waislamu.dunia kwamba ni sayari ya jua ni waislamu ndio walioliweka sawa baada ya kuona mkorogeko wa mawazo wa Ptolemy na aristotle
Ni kutokana na vita baridi vya kutuwekea vibaraka kututawala.Pamoja na hivyo kazi inaendelea baada ya baadhi yetu kuzinduka,Ndio maana huna cha kumwambia Iran eti awache mradi wa kurutubisha nyuklia kwa visingizio vya kijinga,Swali langu liko palepale imekuwaje mmebaki mbumbumbu pamoja na kuanzisha vyote hivyo. What went wrong mpaka mkakimbilia elmu ahera sheikh. Bure kabisa
Iran huyu huyu anaeitegemea teknolojia ya mrusi na korea sio. Huwez kusoma elim ahera ukavumbua chochote wewe. Utabaki kuwa kilaza tu. Na kuongea ongea tu.Ni kutokana na vita baridi vya kutuwekea vibaraka kututawala.Pamoja na hivyo kazi inaendelea baada ya baadhi yetu kuzinduka,Ndio maana huna cha kumwambia Iran eti awache mradi wa kurutubisha nyuklia kwa visingizio vya kijinga,
Quran ni kazi ya wakatoliki usidanganyweNi heikima za Allah za kukuzindua akina wewe.
Ni kweli hakujua kusoma wala kuandika lakini kwenye Qur'an kuna mahesabu ambayo hata walimu wake lazima wapewe semina kwanza kuweza kuzielewa
Hizo hesabu ndizo zilizofanyiwa kazi na waislamu na kugundua mambo mengi ya kisayansi mpaka yakamfikia akina Papa Sylvester.
Huijuwi madrassa kijana. Mabingwa wa hesabu zenye maana kwako leo hii, walitokea madrasa.Madrasa na hesabu wapi na wapi
Tumuulize Jakaya Mrisho Kikwete utamu wa shule za kikristu.Chuo kikuu kikongwe zaidi duniani ambacho kinaendelea kutoa elimu ni kile kilichopo barani Afrika, nchini Morocco na ambacho kilianza msikitini(masjid) na kuendeshwa kwa mfumo wa madrasa.
Chuo kikuu hicho kilijengwa na bi Fatma kikiambatana na msikiti wakati wa ukhalifa wa Abbasiya ambao ulitawala mashariki ya kati, Ulaya na Afrika. Ukhalifa huo na watangulizi wao walitilia umuhimu mkubwa masuala ya elimu na hivyo kurithisha fikra hizo kwa kila watu wa eneo fulani.
Miongoni mwa wanafunzi wa chuo hicho ni papa Sylevester (2).Somo lililomvutia zaidi ni hesabu wakati huo Ulaya ikiwa haijui hata kuhesabu machungwa.
Mfumo wa kuhesabu hasa kwa kutumia kifaa cha Abacus alichojifunzo kutoka walimu wa chuo cha Alqarawiyen ulimfanya aonekane kama ni mchawi na hiyo ikawa ndiyo sababu ya Ulaya nzima kujifunzo na kuanza kuhesabu kutoka kanisani kwake.
Mahesabu mengine magumu na elimu ya astronomy alichukua kutoka dola ya kiislamu ya Andalasia.
Al-KhwarizmiSasa mbona hatuoni matokeo ya ujuzi huo wa hisabati Kwa waarabu?
Mabingwa wote wa sayansi na hesabu ni mayahudi au wazungu Wala sioni mwarabu!
Huijuwi madrassa kijana. Mabingwa wa hesabu zenye maana kwako leo hii, walitokea madrasa.
Hivi nini maana ya madrasa?
Kwani elimu ya Madrasa na Ile Sayansi ya enzi za Firauni zilizotumia Geometry ya hali ya juu kujenga Pyramids ipi ilitangulia???Hesabu unazozijua wewe zimeanza madrasa na papa naye alijifunza huko huko
Somo la historia ya dunia na hivyo unavyovijua usingeweza kuvijua kama si nidhamu ya elimu ya kiislamu.Hakuna aliyevijali wala kuvitunza kabla ya kuja waislamu na kuvikushanya pamoja pale baghdad halafu wakaviandika kwa lugha ya kiarabu kabla kutafsiriwa kwa kilatini.Kumbuka hakukuwa na lugha ya kiengereza wala kifaransa enzi hizo.Kwani elimu ya Madrasa na Ile Sayansi ya enzi za Firauni zilizotumia Geometry ya hali ya juu kujenga Pyramids ipi ilitangulia???
Vipi na kuhusu Tourat, Injil na Zaburi nazo zilikuwa katika lugha ya Kiislamu (Kiaarabu) kwanza ndo baadaye vikatafsiriwa kwenda Kiebrania, Kigiriki na Kilatini??? kwamba enzi za Musa na zama za Yesu uislamu ulishakuwa na vyuo vyake???Somo la historia ya dunia na hivyo unavyovijua usingeweza kuvijua kama si nidhamu ya elimu ya kiislamu.Hakuna aliyevijali wala kuvitunza kabla ya kuja waislamu na kuvikushanya pamoja pale baghdad halafu wakaviandika kwa lugha ya kiarabu kabla kutafsiriwa kwa kilatini.Kumbuka hakukuwa na lugha ya kiengereza wala kifaransa enzi hizo.
Kwa hivyo unapojidai kusimulia mambo ya wakati wa Firauni na wagiriki wa mwanzo usingeweza kuwajua kabisa kabla kuwekwa nidhamu ya kihistoria kimaandishi kwenye maktaba.