Papa wa Kanisa Katoliki anakuwa Mtakatifu kwa misingi ipi?

Mkuu hivi Petro alikuwa Papa kumbe myahudi na mrumi wapi na wapi halafu Kwan Yesu alimwita Petro mtakatifu au alimwambia ajiite baba
 
Ulifundishwa uongo okoka mzee baba
 
Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?

Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?

Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?

Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?

Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Kwa ufupi:Hapo utakatifu si wa mtu kama mtu.Utakatifu upo kwenye cheo/upapa.Kapewa dhamana tu ya kuwa kiongozi mkuu.Utakatifu anapaswa kuutafuta kwa mwenendo wa maisha yake.Usichanganye Mambo au kusoma tu "mtakatifu" na kuzua hekaheka.
 
Sasa unauhakika gani Kama Papa anaishi kusudi la Mungu wakati Siri ya MTU anaijua mwenyewe nyingi mnajua anawaza Nini mpaka mmwite holy father
 
Sasa unauhakika gani Kama Papa anaishi kusudi la Mungu wakati Siri ya MTU anaijua mwenyewe nyingi mnajua anawaza Nini mpaka mmwite holy father
Ndiyo maana umeelezwa kwamba,anaweza kuwa si mtakatifu kadiri ya vigezo vyake Mungu.Hivyo,anapaswa kuishi kwa imani kivitendo ili ajitengenezee utakatifu mbele za Bwana Mungu wetu.
 
Naomba nieleweshwe jamani wapi pameandikwa Petro alikuwa Papa navyojua Mimi katoliki ilitokana na Constantine the great baada ya kuona mauaji ya wakristu yamezidi akatengeneza makubaliano kwamba watu wasali Ila chini ya serikali ndio maana kanisa Hilo lipo Kama serikali hivi Petro na upapa ulitokea wapi na Kama alikuwa Papa navyojua papa ni powerful Sana ilikuwaje Papa akauawa miguu juu kichwa chini leteni hoja siyo makasiriko
 
Na vipi kuhusu kupanga Cha kufundisha dunia nzima Kama Petro alikuwa Papa mbona Paulo alikuwa anafundisha yake kadri Roho alivyomfunulia wakatoriki wamepata wapi nguvu ya kumpangia Mungu aseme nini na dunia Ina maana Roho kwenu haongei tena
 
Yesu Anakuita 'njoo Mwanangu...Achana na Makanisa Yasiyokuwa na Anuani'..!

Kanisa ni moja tu....Takatifu Katoliki La Mitume.
Kwa mfano Mtu analiita Kanisa lake 'Feel Free Church'..! Au Feel At Home Church' Sasa hilo kanisa au Mgahawa !!
Duuuuh
 
Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?

Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?

Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Mambo ya duni waachie wenyewe

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza nimeshtuka na neno papa mawazo yangu yakanipeleka kule

Maana jana jioni Zuwena alisema nakuletea papa ushinde nayo mpka mwaka mpya ila hakutokea


By the way Pussy on period be good asf, Like D be walkin on red carpet
 
Kanisa katoliki ndio mfano halisi wa maisha ya mwanadamu pale unaposhambiwa ukisimamia misimamo yako unakuwa imara

1. Kuanzia mavazi , mashati ya kichungaji yenye colour nyeupe ( Roman colours) ni hati miliki ya ubunifu wa wakatoliki wanazitumia lakini wanawadharau

2. Mifumo ya ibada ( liturgy) ni ya kikatoliki iliyoandaliwa na ma philosophers maaskofu wa kikatoliki kama Thomas of Aquinas, Saint. Augustine nk, wamezibeba na kwenda ku eddit lakini bado wanadharau kanisa katoliki

3. Zamani wakati wanaeneza harakati zao,walianza kukosoa ibada za kikatoliki kama heshima kwa Mama Maria , mpaka wakawa wanamuita baasha lakini siku hizi naona kaakili kamewajia kidogo hata Rozari wanawavalisha watoto wao japo hawajui kuzisali

4. Ibada iliyoitwa ya sanamu, ilikuwa ndio ajrnda yao enzi zilie makanisa yao yalikuwa ya kulia lia kabla hawajaenda Nigeria kujifunza technolojia ya upako, makanisa yao hata msalaba yalikuwa hayana ila siku hizi msalaba mkuubwa wanavaa na kuweka makanisani mwao

5. Mfumo wa uongozi wa kanisa kuna baadhi wamadumisha lakini wengine wanataka kujimilikisha kanisa , mali za kanisa ni za binafsi kwenye kugombea madaraka na mali za kanisa zimeleta taswira mbaya na kuuchafua ukristu.Wakati mfumo wa kipapa mali za kanisa na za kanisa na kiongozi wa dinin ana pangwa sehemu na kuhamishws muda wowote na kupelekwa sehemu yoyote duniani na kuacha kila kituz
 
Naomba wanaojua historia clear ya hili kanisa jamani wanieleweshe sio wale wanaosema alianza papa Petro akaja Nani Nani maana kipindi Cha Petro hakukuwa na ukatoriki someone should tell me how Constantine the great formed the church na alikuwa Nani katika mitume
 
Out of the topic mkuu Rudi kwenye maada kuu mm sijaongelea makanisa mengine au liturgy naongelea how Papa aitwe holy father jina la Mungu na why mpangr Roho mtakatifu aseme nn kwa dunia nzima na how kanisa lilikuwa la mitume wakati wale wayahudi nyingi warumi
 
Papa ni taasisi we kilaza na papacy yake inakamilishwa na ukatoliki ambayo ndio hayo wanaojiita wa protestant waliyapinga ila sasa wameanza kuyarudia mojamoja
 
Out of topic hvi umeelewa maada yenyewe kweli mkuu nazani wewe ndio kilaza
Papa ni taasisi we kilaza na papacy yake inakamilishwa na ukatoliki ambayo ndio hayo wanaojiita wa protestant waliyapinga ila sasa wameanza kuyarudia mojamoja
 
Mkuu, ukijishughulisha kidogo kuwajua Petro na Paulo kwenye Biblia utaelewa umuhimu wa Rome Italy na kwanini kanisa liliweka hapo Rome makao makuu. Nakusihi soma sana Biblia. Ukihitaji msaada, tuombe PM usaidiwe.
 
Kristo alilianzisha hilo kanisa lini na wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…