Papa wa Kanisa Katoliki anakuwa Mtakatifu kwa misingi ipi?

Living saint tofautisha na neno HOLY FATHER au hulioni vizuri Milo bold
 
Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?

Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?

Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Kiti anachokikalia (Hadhi/taasisi ya Upapa) ni kitakatifu.

Utakatifu huo ni wa kimamlaka na kitaasisi anayoiongoza, siyo mtu binafsi.
 
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana baba yao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.
Nini maana ya baba na nini maana ya mtakatifu?

Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Mwanaume aliyejamiiana na mama yako ukazaliwa unamuitaje?

Watu wanaokuongoza unawaitaje?

Tumia tu akili ya kawaida (commonsense) kuelewa Maandiko Matakatifu.
 
Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?

Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?

Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Papa=paganism =deception
 
Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?

Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?

Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Utakatifu wa Papa wa Katoliki hauhusiani na Mbingu wala Yesu Kristo.

Wanajua nini wanaabudu in cover of Jesus
 
Wapi kuna papa hapo ndugu.

Na hiyo Roman Catholic mbona umeipachika? Kama ingekuwa na umuhimu mwinjili angeiweka mwenyewe.

Naona unaongeza maneno ambayo kwenye biblia hayapo
Kuna tofauti gani kati ya TANU na CCM?

Hivyo hivyo kwa "Kanisa" lililotajwa kwenye kifungu hicho cha Biblia na Katoliki.

#kataawahuni
 
Kumbe taasisi ya upapa ni TAKATIFU kwa maandiko gani taasisi ikawa TAKATIFU

Kiti anachokikalia (Hadhi/taasisi ya Upapa) ni kitakatifu.

Utakatifu huo ni wa kimamlaka na kitaasisi anayoiongoza, siyo mtu binafsi.
 
Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?

Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?

Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Aliyekwambia ukiwa Papa automatically unakuwa mtakatifu ni nani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?

Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?

Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
... hujaiweka vizuri; umeandika nusunusu. Title rasmi ya Papa ni;

His Holiness (Francis), Bishop of Rome, Vicar of Jesus Christ, Successor of the Prince of the Apostles, Supreme Pontiff of the Universal Church, Primate of Italy, Archbishop and Metropolitan of the Roman Province, Sovereign of the Vatican City State, Servant of the servants of God.

Shida iko hapo kwenye maneno mawili ya mwanzo, His Holiness = (literally) Baba Mtakatifu. It is just a form of addressing some supreme religious leaders but it doesn't mean that they are saints. His Holiness pamoja na Papa, inatumiwa pia na Dalai Lama (Buddha) and Da'i al-Mutlaq (Dawoodi Bohras), among others.

Ila naona umekuwa interested na Roman Catholic kwa sababu unazozjua wewe! Maandiko yanasema, hukumu zenu ziwe hukumu za haki badala ya kuwa hukumu za hila kama ulivyofanya wewe.
 
Kuna tofauti gani kati ya TANU na CCM?

Hivyo hivyo kwa "Kanisa" lililotajwa kwenye kifungu hicho cha Biblia na Katoliki.

#kataawahuni
He hii mpya sasa. Yani unalazimisha katoliki ndo limetajwa. Yani kabisa una edit maandiko unapachika maneno yako. Kwa sababu hakuna mahali popote kwenye biblia jina la hilo lanisa limeandikwa iweje wew uongeze
 
Cha ajabu kuna walokole wana vi shule vyao navyo wanaviita St nani sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Holiness inatokea wapi why not bishop Francis au father Francis hiyo holy father huoni ni ya Mungu wa Mbinguni mkuu hebu nisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…