Pape Ousmane Sakho na Sadio Kanoute' Haya ndiyo mambo tulikuwa tunataka Simba SC

Mkuu Asprin Ukitoka nakupigia mizinga 21 kwa kung'amua hilo.

Pamoja sana.. Nguvu Moja
Atakayebisha ukweli uliouandika kwenye thread hii atakuwa mhuni, kiroboto na mzandiki. Nitambadilisha jinsia afu kikojoleo nakiweka kwenye paji la uso
 
Ila kuna watu hawajui mpira kabisa mim binafs huyo sakho na kanuote niliwakubar siku ya kwanz tu na nikaamin ni suala la muda tu...Mchezaj utamjua tu akiwa na mpira au akiwa hana mpira,.Hyo sakho ana mikimbio hatar sana.. Mtu anayejua mpira akiupata tu mpira unajua huyu fund tumpe muda
 
Sakho ni mchezaji bora wa msimu wa 20/21 kwenye ligi kuu ya Senegal, akiwa na mabao sita na assts 6 kwenye Ubingwa wao Klabu ya Teungueth.

Na saaa yupo kwa Mabingwa wa Nchi na Wawakilishi wa Kimataifa, huko kwenu nani anasifa hizo? Huko alikotoka?
Iyo league au Bonanza?

Mpira wa senegal bora zanzibar
 
Nyie mikia siku ile ya derby hao wote si mliwatoa nje?na mkaanza kulalamika kua viongozi wamesajiri vitoto...Yanga hii hebu ipe heshima yake ...alaa huna adabu hata kidogo.
Nyie mikia siku ile ya derby hao wote si mliwatoa nje?na mkaanza kulalamika kua viongozi wamesajiri vitoto...Yanga hii hebu ipe heshima yake ...alaa huna adabu hata kidogo.
unazungumzia hii hadi mdaka mishale alikuwa hoi kwa shuti la sadio kanoute

 
Wapi mashabiki wenye maono walilalamika?

Hivi Kanoute alipozima zile tambo za akina Aucho na Faisal pale katikati ya dimba hukuona?

Au lile shuti aliopiga Kanoute golikipa wenu akakata Network na kutibiwa kwa dakika kadhaa hukuona?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Kushoto una sakho kulia ina morison namba 10 una ********! Boks to boks una kanoute.... kazi ipo.....
Huyu sakho ni miquisson mwingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…