Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Umesahau kuweka nyoni, manula, mkude, kapombe, wawa, enock,Banda+sakho+Bwalya- 4 GOALS
Denis nkane- 4 GOALS
Namba hazidanganyi jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau kuweka nyoni, manula, mkude, kapombe, wawa, enock,Banda+sakho+Bwalya- 4 GOALS
Denis nkane- 4 GOALS
Namba hazidanganyi jamani
Mnaendeleaje huko champions league na shirikisho?Nyie mikia siku ile ya derby hao wote si mliwatoa nje?na mkaanza kulalamika kua viongozi wamesajiri vitoto...Yanga hii hebu ipe heshima yake ...alaa huna adabu hata kidogo.
Sahihi kabisaHuyo jamaa hawezi kukaa hata sub kwenye kikosi cha Yanga
Atakayebisha ukweli uliouandika kwenye thread hii atakuwa mhuni, kiroboto na mzandiki. Nitambadilisha jinsia afu kikojoleo nakiweka kwenye paji la uso
Ule mshuti wa Sakho jana dhidi ya Azam FC uliogonga mwamba, yaani golikipa angeruka juu zaidi kisha akapangua lazima angekata network kama suti la Kanoute dhidi golikipa wa Timu ya bonde la JangwaWaliokuwa wakiwabeza wako kimya, ila mashuti yao yanaweza kuleta maafa.
Iyo league au Bonanza?Sakho ni mchezaji bora wa msimu wa 20/21 kwenye ligi kuu ya Senegal, akiwa na mabao sita na assts 6 kwenye Ubingwa wao Klabu ya Teungueth.
Na saaa yupo kwa Mabingwa wa Nchi na Wawakilishi wa Kimataifa, huko kwenu nani anasifa hizo? Huko alikotoka?
Kwasababu Yanga haina hadhi ya kumiliki miguu kama ile, ni mchezaji fulani hivi expensive sana huu msimu siji kama unaweza kuisha bila Sakho kusajiliwa liverpoolHuyo jamaa hawezi kukaa hata sub kwenye kikosi cha Yanga
Nyie mikia siku ile ya derby hao wote si mliwatoa nje?na mkaanza kulalamika kua viongozi wamesajiri vitoto...Yanga hii hebu ipe heshima yake ...alaa huna adabu hata kidogo.
unazungumzia hii hadi mdaka mishale alikuwa hoi kwa shuti la sadio kanouteNyie mikia siku ile ya derby hao wote si mliwatoa nje?na mkaanza kulalamika kua viongozi wamesajiri vitoto...Yanga hii hebu ipe heshima yake ...alaa huna adabu hata kidogo.
😂😂😂Wapi mashabiki wenye maono walilalamika?
Hivi Kanoute alipozima zile tambo za akina Aucho na Faisal pale katikati ya dimba hukuona?
Au lile shuti aliopiga Kanoute golikipa wenu akakata Network na kutibiwa kwa dakika kadhaa hukuona?
kwasababu uto haishiriki mechi za kimataifa huko kwenu atakuja kuua kipaji chake bureHuyo jamaa hawezi kukaa hata sub kwenye kikosi cha Yanga
Kushoto una sakho kulia ina morison namba 10 una ********! Boks to boks una kanoute.... kazi ipo.....WanaSimba tunaendelea kutembea mwendo wa Ngiri meno nje kuhusu hawa Vijana, Pape Ousmane Sakho na Sadio Kanoute, kwa kadri wanavyozidi kuimarika na kuwa hatari sana Uwanjani, hongera sana Viongozi, Wanachama na Mashabiki wa Simba SC, haya ndo mambo tulikuwa tunasubiri, kwa WanaSimba
Pape Ousmane Sakho huyu kwa sasa ndo kiumbe mmoja hatari sana mwenye kuwang'oa wapinzani meno bila kutumia ganzi.
Kama namuona Luis Miquissone hivi kwa mbali, kwa uwezo wake wa kuondoka na Kijiji huku akiteleza mithiri ya samaki kambale pamoja na ubunifu wake na unyumbulifu uliothibitishwa na Shirikisho la soka Afrika CAF.
Kwa sasa huyu kiumbe ni kero namba moja Tanzania, ukiachilia mbali Bernard Morrison wakili msomi mwenye uwezo wa kushinda kesi bila kusimama mahakamani.
Sadio Kanoute huyu ni kiumbe boksi to boksi, kiungo matata sana, mtaalamu mwenye kutembea dimba la kati kwa namna anavyotaka.
Huyu mtu sana, achilia mbali game dhidi ya Azam FC, alichofanya game dhidi ya Majirani Kutoka bonde la Jangwa kila mtu anajua, baada ya jina la Dokta kuzimika baada ya game, kama dawa iliyoisha muda wake.
Sakho na Kanoute haya ndo mambo ambayo tunataka Simba SC, hakika Azam FC wamekutana na dawa ya kuua Wadudu Wanaoruka na Kutamaa na hakika ukichagua Simba SC umechagua furaha Mutawalia, Simba SC Klabu Quality yenye kusakata kabumbu la Viwango vya CAF, Mabingwa wa Nchi, Klabu Kubwa na Bora Afrika.
Peter Banda tunasubiri uje kujibu mapigo haya ya Pape Ousmane Sakho na Sadio Kanoute pomoja na kipaji chako cha kusakata kabumbu, bado nafasi unayo na umri unaruhusu pia.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana.