Aisee unampenda Messi hadi unatia huruma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Psg jinsi wanavyopelekewa moto mpaka huruma aise
Hii kitu ndio iliyo wagharimu Baca. Kila kitu Mess Mess. Kwahiyo kila atakaepata mpira anatakiwa aanze kuzurura uwanjani kutafuta Mess alipo?
Hivi unaelewa unachokiongea? Unaongea kimpira au ushabiki?
Barca iliyokuwa mbovu chini ya koeman messi kaisaidia na kuchukuwa copa del rey. UEFA, La liga, super cup, copa del rey, fifa club world cup n.k. haya yote huyaoni!!!, Messi ndiye injini ya timu bwana, bila yeye hakuna ki2.Sasaiv wanahaha kupata matokeo
Hawa wanaenda kutolewa na Madrid uefa then watapoteana wao kwa wao kutafuta mchawi ...PSG haitafika popote kwa sasa inaonekana kuwa na mastaa is nothing at all
Sometimes football inakua maintained na uwepo wa galacticos kama Real Madrid ilivyojiwekea ubora wao kwa kuamiani mastaa basi ata PSG tuamini ivo ili tubebe UEFA na sisi .PSG haitafika popote kwa sasa inaonekana kuwa na mastaa is nothing at all
Baca ipi iliyochukua UEFA chini ya Koeman??Hivi unaelewa unachokiongea? Unaongea kimpira au ushabiki?
Barca iliyokuwa mbovu chini ya koeman messi kaisaidia na kuchukuwa copa del rey. UEFA, La liga, super cup, copa del rey, fifa club world cup n.k. haya yote huyaoni!!!, Messi ndiye injini ya timu bwana, bila yeye hakuna ki2.Sasaiv wanahaha kupata matokeo
Nafikiri haoni hii.Nayeye mwenyewe anahaha mana mpaka hatua hii ana goli moja tu la ligi
Kumbe nae anahitaji team nzuri ili a perform.Leo alikosea sana kujiunga na hilo timu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] vunga basidah wameaga mashindano jana, Mtu mfupu anaendelea kushangaa shangaa uwanjani
Kumbe nae anahitaji team nzuri ili a perform.
Jamaa ni one league man.
Msolve ishu ya penati takers kwanza.Hatimae leo ndo tunaenda kuendelea na mapambano ya kukamilisha ndoto yetu ya kuona jiji la Paris likirindima kwa Shangwe za furaha baada ya kutwaa UCL kwa mara yetu ya kwanza[emoji419]
Mon en l'aimee et Paris[emoji93]View attachment 2119862
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app