Paris Saint-Germain Special Thread

Paris Saint-Germain Special Thread

PSG hii hii ya Neymar,Mbappe na Messi ndani,Ile tuzo angepewa Lewandosk tu!
 
Hii kitu ndio iliyo wagharimu Baca. Kila kitu Mess Mess. Kwahiyo kila atakaepata mpira anatakiwa aanze kuzurura uwanjani kutafuta Mess alipo?

Hivi unaelewa unachokiongea? Unaongea kimpira au ushabiki?

Barca iliyokuwa mbovu chini ya koeman messi kaisaidia na kuchukuwa copa del rey. UEFA, La liga, super cup, copa del rey, fifa club world cup n.k. haya yote huyaoni!!!, Messi ndiye injini ya timu bwana, bila yeye hakuna ki2.Sasaiv wanahaha kupata matokeo
 
Nayeye mwenyewe anahaha mana mpaka hatua hii ana goli moja tu la ligi
 
PSG haitafika popote kwa sasa inaonekana kuwa na mastaa is nothing at all
Sometimes football inakua maintained na uwepo wa galacticos kama Real Madrid ilivyojiwekea ubora wao kwa kuamiani mastaa basi ata PSG tuamini ivo ili tubebe UEFA na sisi .
Bonne Chancé
 
Hivi unaelewa unachokiongea? Unaongea kimpira au ushabiki?

Barca iliyokuwa mbovu chini ya koeman messi kaisaidia na kuchukuwa copa del rey. UEFA, La liga, super cup, copa del rey, fifa club world cup n.k. haya yote huyaoni!!!, Messi ndiye injini ya timu bwana, bila yeye hakuna ki2.Sasaiv wanahaha kupata matokeo
Baca ipi iliyochukua UEFA chini ya Koeman??
Last time wanachukua kulikua na Iniesta (man of the match), Suarez, Neymar nk.. Hii ilikua Baca mbovu kwa madai yako??

Huko aliko Mess anafanya nini sahivi??

Naona wewe ndio unazungumza kishabiki zaidi.. Baca imepoteana kwasababu ya forcus ya mchezaji mmoja badala ya team.

Champions league vipigo mfululize mnakula ikiwemo ile ya 8 alikuope na hatukuona chochote.
 
dah wameaga mashindano jana, Mtu mfupi anaendelea kushangaa shangaa uwanjani
 
Hatimae leo ndo tunaenda kuendelea na mapambano ya kukamilisha ndoto yetu ya kuona jiji la Paris likirindima kwa Shangwe za furaha baada ya kutwaa UCL kwa mara yetu ya kwanza[emoji419]

Mon en l'aimee et Paris[emoji93]
255699239985_status_c46934e6779f4d5b9d5d7f24362965c2.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom