Paris Saint-Germain Special Thread

Paris Saint-Germain Special Thread

Unasemaje wamemdanganya wakati ni timu ya kwao? Yeye kazaliwa Paris...na bado analipwa hela nyingi kuliko wote
Ulifatilia Sakata lake la had kuongeza mkataba Uliopita?.. Unajua ni ngv gani ilitumika had kubadilisha mawazo yake wkt alikua anaenda Madrid.. Unajua kwmb Marais wa nchi zote 2 Qatar na France walitumika kumshawishi yy na mama yake(ikiweno ya kumfanya yy kua kama ndo mmiliki wa club maamuz yote ashirikishwe?) ilmrad tu abak.

Hapa hatuongelei hela tunajua anapata hela nyng ni kwl.. Lkn tunazungumzia kwa Career yake ilikua ni sahihi zaid kwend Madrid.

Mbona kama anafuraha mbona saiv tena next summer anataka kuhama?.. Mwnyw anajua kbs kuendelea kubak Psg ni kupoteza mda yy bado mdg anabid kua kwny Club zenye caliber ya Madrid au Barcelona.
 
Mnajua kua lens akiwaga kwao hafungwagi kizembe eeeh PSG mbane kengele izo le0
 
This thread should be deleted. Filling the space here without a reason when the fact is most people who are commenting here, actually, they are Messi's fans or plastic fans who are waiting their teams to recover from the bad forms.
 
Jina: Paris Saint-Germain Football Club.

P-A-R-I-S.: Five letters that resonate around the world. Historically incomparable, culturally unique, the City of Light shines in the sporting world too in the colours red and blue

Kuanzishwa: 12 August 1970


Uwanja
: Parc des Princes , unaingiza watu 47,929.
kzrvf1r50iu0udr8nppl
Makombe:

Washindi wa Ligue 1 mara 6.

Washindi wa Ligue 2 mara 1.

Washindi wa Coupe de France mara 11.

Washindi wa Coupe de la Lige mara 7.

Washindi mara 7 wa Trophee des Champions.

Washindi mara 1 wa UEFA Cup Winner's Cup.

Washindi mara 1 wa UEFA intertoto Cup.

Le Classique: Mpinzani wa jadi kwa PSG katika Ligue 1 ni Olympique de Marseille katika mechi maarufu kama Le Classique

Tangu 2011, PSG imeshinda jumla ya vikombe 16, huku Zlatan Ibrahimovic aliehamia msimu wa 2012-2016 akifunga jumla ya magoli 156. Project mpya ya PSG kuanzia msimu wa 2017 ni MCN.

Mbappe, Cavani na Neymoney (Neymar) wapo katika kutengeneza "the Trident of their own" (MCN). Kwa usajili walioufanya msimu huu wa 2017/2018, PSG itakuwa ni miongoni mwa timu ambazo zitatazamwa kwa ukaribu sana katika Champions League na katika Ligue 1. Kwa kuwa bado timu hii haina mashabiki wa kutosha hapa Tz, si vibaya wale "plastic Fans" wanaohamia timu kutokana na majina ya wachezaji kutumia uzi huu kuwafuatilia kwa ukaribu MCN. Karibuni

Moderator

T
2166022-45277850-2560-1440.jpg



tIbwGUonP88-640x350.jpg
This thread needs regular updation from moderators or a thread stater. The information which are here they are currently outdated.
 
What had gotten over Mbappe when he was needed by Madrid to refuse to sign a deal, I don't know. But, He is deserving to be in the Elites clubs by now,The teams like Madrid or Barcelona and not PSG.
 
Nyinyi wapuuzi msitulazimishe kumuabudu huyo mchezaji wenu.Kwa hiyo alicheza namba zote.
KWanini usiseme psg imefanya vizuri.
 
So ikifungwa tuseme Messi ameshindwa kuisaidia....................

as long as analipwa mishahara mkubwa ,hiyo ni part ya kazi yake kulingana na thamank yake.
So hajaisaidia ILA ametimiza kazi yake...😁🤝

Note: Mimi ni timu Messi always.
 
Messi Ameisaidia Psg leo kuondoka na Alama tatu muhimu,Wengi walidhami psg amesha poteana .Hii ndo maana halisi ya kua mchezaji mkibwa [emoji91] kama una bisha we bisha tu ila katizame hili bao lake kisha njoo..[emoji847][emoji16]

Highlights ya mechi nzima nimekuekea hapa[emoji116]
Aisidie kucheza robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya PSG
 
Back
Top Bottom