Paris Saint-Germain Special Thread

Paris Saint-Germain Special Thread

Kwa kweli Hali ya mbuzi ni mbaya sana
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Kijana Pessi na Jr wanaelekea kutimuliwa kwenye timu, mashabiki wamechoka kuychangia hela ya mishahara yao bila ya kupata chochote.
 
Mbappe leo kawekwa rasmi sokoni na PSG, mwenye mzigo mkubwa akajibebee kipaji kile..

Kama alitaka kwenda R. Madrid bure ili akapewe signing fee ya maana, imekula kwale, mwarabu amemshtukia..
 
Mbappe leo kawekwa rasmi sokoni na PSG, mwenye mzigo mkubwa akajibebee kipaji kile..

Kama alitaka kwenda R. Madrid bure ili akapewe signing fee ya maana, imekula kwale, mwarabu amemshtukia..
Jamaa msumbufu sana yule, na akiendeleza ujinga wake atamaliza hajabeba UEFA.
 
Kimenuka.....

'PSG to sell Mbappe to highest bidder'​

Sky Sports News chief reporter Kaveh Solhekol:
"Paris Saint-Germain will now do whatever they can to sell Kylian Mbappe to the highest bidder.
"There is zero emotion now as far as PSG are concerned. It's just business now. It's transactional and they don't care where he goes.
"They will happily do business with Real Madrid or anyone else who pays up and they have no issues about dealing with Saudi clubs.
"They already had multiple expressions of interest before the player was put for sale tonight."
 
Mbappe leo kawekwa rasmi sokoni na PSG, mwenye mzigo mkubwa akajibebee kipaji kile..

Kama alitaka kwenda R. Madrid bure ili akapewe signing fee ya maana, imekula kwale, mwarabu amemshtukia..
hii balaa, mchezaji mkubwa akikataa ku sign mkataba mpya na kabakiza mwaka mmoja aisee huwa ni option moja tu - Kumuuza ili upatepo chochote, maana mkataba ukiisha anaondoka bureee.

Pole sana PSG, maana nyinyi mneina ni Mbappe kukosa professionalism - kwamba ashafunga deal na Madrid kwenda buree mwakani.

Yeye kawajibu kasema yupo tayari kukaa benchi mwaka mzima haina shida kwake...
 
Daah kudadeki influence yake ni massive..kwnz ukiona zile video jana anavotolewa airport utadhan lbd rahis wa marekani kaingia ufaransa mzee..PSG kwl wamejua kumpa heshima mchezaj bora wa mda wote...na sasa kesho ataanza tizi na tunachotarajia sisi mashbik lia lia wa Psg ni furaha tu.
Shabiki lialia wa psg uongo!🤣🤣
 
Back
Top Bottom