Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kukomoana tu, Wanafunzi wamekopa HESLB wanadaiwa mpaka milioni 40 na wapo serikalini na wengine ni wabunge na mawaziri hawaulizwi.Wapendwa natumaini hamjambo.
Kama kuna mtu anadaiwa parking ya gari inayozidi 10,000. Lipa kabla ya saa nne leo, vinginevyo ukikamatwa gari linapelekwa godown na unalipa laki nne.! Hiyo ni kuanzia leo 04/09/2023
Hao STL,STM, PT, J na DFP hawalipi ndio maana hawapigi miluzi, ingewahusu ungeskia tamko kama CRDB jana walitoa saa sita usiku kuhusu ile statement ya uongo iliyoandaliwa na CHAWA wa .......!