Parking fee kamata kamata

Parking fee kamata kamata

Wapendwa natumaini hamjambo.
Kama kuna mtu anadaiwa parking ya gari inayozidi 10,000. Lipa kabla ya saa nne leo, vinginevyo ukikamatwa gari linapelekwa godown na unalipa laki nne.! Hiyo ni kuanzia leo 04/09/2023
Kukomoana tu, Wanafunzi wamekopa HESLB wanadaiwa mpaka milioni 40 na wapo serikalini na wengine ni wabunge na mawaziri hawaulizwi.
Hao STL,STM, PT, J na DFP hawalipi ndio maana hawapigi miluzi, ingewahusu ungeskia tamko kama CRDB jana walitoa saa sita usiku kuhusu ile statement ya uongo iliyoandaliwa na CHAWA wa .......!
 
ila mbona ukiangalia online inaonyesha kuna ukomo wa tarehe ya kulipa. Je hiyo kamata kamata ni kwa wote ama wale waliovuka ukomo wa tarehe?

Ila hii nchi kila kitu kimekuwa fursa sasa. Na huu utaaanza kuwa usumbufu mwingine sasa na mwanya wa watu wa jiji kuchukua pesa za hongo.View attachment 2738650
Hii kitu yao ina mapungufu. Niliyoyaona ni haya yafuatayo;

1. Haionyeshi nilipaki wapi.
2. Haionyeshi nilipaki sehemu hiyo tarehe ngapi.
3. Haionyeshi nilipaki kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi

Mapungufu hayo, yanaweza yakafanya watu wakuandikie parking fee gari, wakati huo ikiwa nyumbani kwako. So long as anayeandika anaijua namba ya gari yako, basi anakubambika tu. Hata kama gari ipo Mbeya na wewe utaonekana umepaki Dar.
 
Wapendwa natumaini hamjambo.
Kama kuna mtu anadaiwa parking ya gari inayozidi 10,000. Lipa kabla ya saa nne leo, vinginevyo ukikamatwa gari linapelekwa godown na unalipa laki nne.! Hiyo ni kuanzia leo 04/09/2023
Najuaje kama nadaiwa
 
Hao STL,STM, PT, J na DFP hawalipi ndio maana hawapigi miluzi, ingewahusu ungeskia tamko kama CRDB jana walitoa saa sita usiku kuhusu ile statement ya uongo iliyoandaliwa na CHAWA wa .......!
Naamini kweli tumeshauzwa
 
Hii kitu yao ina mapungufu. Niliyoyaona ni haya yafuatayo;

1. Haionyeshi nilipaki wapi.
2. Haionyeshi nilipaki sehemu hiyo tarehe ngapi.
3. Haionyeshi nilipaki kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi

Mapungufu hayo, yanaweza yakafanya watu wakuandikie parking fee gari, wakati huo ikiwa nyumbani kwako. So long as anayeandika anaijua namba ya gari yako, basi anakubambika tu. Hata kama gari ipo Mbeya na wewe utaonekana umepaki Dar.
Ina makosa mno wala usifuatishe, nenda barbarani wale wa vimashine watajie namba ama traffic.
 
Hii kitu yao ina mapungufu. Niliyoyaona ni haya yafuatayo;

1. Haionyeshi nilipaki wapi.
2. Haionyeshi nilipaki sehemu hiyo tarehe ngapi.
3. Haionyeshi nilipaki kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi

Mapungufu hayo, yanaweza yakafanya watu wakuandikie parking fee gari, wakati huo ikiwa nyumbani kwako. So long as anayeandika anaijua namba ya gari yako, basi anakubambika tu. Hata kama gari ipo Mbeya na wewe utaonekana umepaki Dar.
Mbaya zaidi kuna magari yanasoma yallipack mijini wakati ni mabovu siku nyingi yako garage
 
Parking kando ya barabara ni wizi wa mchana kweupe, maana yake wanataka watu wawe wanabeba magari mgongoni wakitaka kuingia mahali kununua bidhaa au kupata huduma? nimekaa majuu kuna street parking, watu wanapaki magari kando ya barabara mitaani kwenye maeneo yalipo makazi yao hata mwaka mzima na hakuna wanacholipia. Utaratibu wa kulipia parking unatakiwa uwepo kwenye maeneo maalumu yaliyojengwa kama maegesho na halmashauri au watu binafsi kama ilivyo mlimani city, siyo kando ya barabara zilipo huduma na biashara.........watu wame park eneo la bar wanapata vinywaji, mtu anakuja kutoza parking, hii haiwezi kuwa haki.​
Na siyo kando ya barabara,sahv maeneo mfano sleepway,shoppersplaza nk kote watu wa parking wanakuja kudai
Ila sasa hakuna alama wanazoweka kama sehemu hizo ni parking unalipia

Ova
 
WAnatekeleza walichotumwa na madiwani, wao ni watekelezaji tu:
Wanasiasa ni wajanja sana, wanajiondoa ila wao ndio wahusika kuweka parking mtu unalipia hadi nyumbani kwako.
Wahindi wa kule posta wanalipia magari yanayolala nyumbani kwao.
 
Parking kando ya barabara ni wizi wa mchana kweupe, maana yake wanataka watu wawe wanabeba magari mgongoni wakitaka kuingia mahali kununua bidhaa au kupata huduma? nimekaa majuu kuna street parking, watu wanapaki magari kando ya barabara mitaani kwenye maeneo yalipo makazi yao hata mwaka mzima na hakuna wanacholipia. Utaratibu wa kulipia parking unatakiwa uwepo kwenye maeneo maalumu yaliyojengwa kama maegesho na halmashauri au watu binafsi kama ilivyo mlimani city, siyo kando ya barabara zilipo huduma na biashara.........watu wame park eneo la bar wanapata vinywaji, mtu anakuja kutoza parking, hii haiwezi kuwa haki.​
Jamaa wanachukua fedha kihuni tu

Ova
 
Na siyo kando ya barabara,sahv maeneo mfano sleepway,shoppersplaza nk kote watu wa parking wanakuja kudai
Ila sasa hakuna alama wanazoweka kama sehemu hizo ni parking unalipia

Ova
Aisee
Ni wapumbavu sana hawa, hayo ni maeneo binafsi ya wanaomiliki hayo maeneo, hawatakiwi kabisa kusumbua watu
 
Parking kando ya barabara ni wizi wa mchana kweupe, maana yake wanataka watu wawe wanabeba magari mgongoni wakitaka kuingia mahali kununua bidhaa au kupata huduma? nimekaa majuu kuna street parking, watu wanapaki magari kando ya barabara mitaani kwenye maeneo yalipo makazi yao hata mwaka mzima na hakuna wanacholipia. Utaratibu wa kulipia parking unatakiwa uwepo kwenye maeneo maalumu yaliyojengwa kama maegesho na halmashauri au watu binafsi kama ilivyo mlimani city, siyo kando ya barabara zilipo huduma na biashara.........watu wame park eneo la bar wanapata vinywaji, mtu anakuja kutoza parking, hii haiwezi kuwa haki.​
Hizi sheria zinatungwa na madiwani walioiba kura mkuu unataka kulinganisha na wasomi wa mamtoni?
Dinawani anatembea kwa miguu, akichaguliwa ndio anapata cha juu nna kununua kirikuu, maumivu ya parking hawezi jua kabisa.
 
Aisee
Ni wapumbavu sana hawa, hayo ni maeneo binafsi ya wanaomiliki hayo maeneo, hawatakiwi kabisa kusumbua watu
Mtu anaenda palm village mfano
Anaingia na gari hapo anakutana na watu wa parking [emoji1]

Ova
 
Halafu ajabu hizi parking fee zina deadline ya tarura sasa inakuwaje wakamate mtu leo ambae deadline yake ni November?
Hivi wakikutana na mbishi, akaenda mahakani kwa kutumia hiyo deadline, akawadai fidia, kwa kukaa na gari lake ambalo analitumia kwa shuguri zake, watatafutana ubaya. Mfano hiyo hapo chini ingawa deni halijafika kiasi wanachokamata.
 
Attachments

  • Screenshot_20230902_125647_GePG Tanzania.jpg
    Screenshot_20230902_125647_GePG Tanzania.jpg
    56.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom