Paroko kizimbani kwa tuhuma za wizi

Paroko kizimbani kwa tuhuma za wizi

Nilichoelewa au sijui ilikuaje uyu Padre alikua anamwekesha pesa kaka yake alivyoona ameugua akaamua kuondoa pesa zake alioataje sijui kama sio ivyo tuelezwe uyo kaka yake anafanya kazi gani ili tulinganishe vinginevyo hii habari imeegemea uoande mmoja. Kama Padre aliiba atakua aliiba kanisani sasa anarudisha alikotoa. Kumbuka mapadre wengi wana watoto siku hizi so matumizi ya fedha ni mengi kuliko wanachopewa kwaajili ya kujikimu
 
Hakika uislam ni neema kubwa kwa wanaadamu
Kaa kwa kutulia.
Kuna fedha za ujenzi wa miskiti yamaeneo ya Kigogo na Magomeni. Unataka tuweke majina ya masheikh hadharani? Wewe endelea na ndoto ya kukuta mabikra 70 ahera, usijumuishe vitu, wizi Ni hulka ya mtu binafsi.
Sheikh ubwabwa aliposema mwendakuzimu Ni zaidi ya mtume, aliwasemea waislamu wote.?
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe.
 
Hakika uislam ni neema kubwa kwa wanaadamu
..
Screenshot_2022-12-15-21-33-56.jpg
 
Back
Top Bottom