escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
- Thread starter
-
- #21
Lazima tuwe mstari wa mbele kulikataa hilo Jambo lililoanza kuota miziziHakika, alilosema Paroko ni jambo la msingi sana, inaonekana imekuwa style ya viongozi wa nchi hii, kila wakiharibu kwenye awamu zao, wanasubiri muda wao ukishamalizika ndio watunge vitabu kujuta kwa maovu waliyotufanyia.
Ogopa MUNGU na TEKNOLOJIASafi sana Baba Paroko uzuri technolojia haisahau
Roho Mtakatifu ana namna ya ajabu kabisa ktk kuwasiliana na watu wake.Leo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"
Amenukuu Maneno yaliyopo kwenye Kitabu cha "My Life, My Purpose" cha Hayati Benjamin Mkapa alipojutia mambo mbalimbali ya Ovyo aliyoyafanya wakati wa Utawala wake ikiwemo kashfa maarufu ya EPA "Wahuni walitumia uaminifu wangu kwa chama kunishawishi nikubali Ninajisikia kuwa nilitumika na kusalitiwa..."
"Kama Wahuni waliweza kumlaghai Rais Mkapa kuingia Mikataba ya ajabu basi hawawezi kushindwa kumlaghai Rais Samia kwamba Mkataba huu una tija"
SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU
Mmh !Nakazia
Akosolewe Tu Baadaye Aandike Kitabu Aseme NilikoselewA Nikakataa
Paroka Namletea Gallons 2 (Za Red Dry Wine ,White Dry Wine)View attachment 2730182
Sweety red na white ni sh ngapi? NatakaNakazia
Akosolewe Tu Baadaye Aandike Kitabu Aseme NilikoselewA Nikakataa
Paroka Namletea Gallons 2 (Za Red Dry Wine ,White Dry Wine)View attachment 2730182
Watabweka Sana, mwarabu huyu hapaLeo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"
Amenukuu Maneno yaliyopo kwenye Kitabu cha "My Life, My Purpose" cha Hayati Benjamin Mkapa alipojutia mambo mbalimbali ya Ovyo aliyoyafanya wakati wa Utawala wake ikiwemo kashfa maarufu ya EPA "Wahuni walitumia uaminifu wangu kwa chama kunishawishi nikubali Ninajisikia kuwa nilitumika na kusalitiwa..."
"Kama Wahuni waliweza kumlaghai Rais Mkapa kuingia Mikataba ya ajabu basi hawawezi kushindwa kumlaghai Rais Samia kwamba Mkataba huu una tija"
SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU
Umeenda Misa ya wavivuParokia gani huko? Kawe haujasomwa labda kama wamesoma Misa ya kwanza au Parokia zinasoma kwa zamu.
AminaRoho Mtakatifu ana namna ya ajabu kabisa ktk kuwasiliana na watu wake.
Haijapata kutokea akatumia lugha ngumu.
Mungu awatuze maaskofu, mashekhe, wachungaji, walii, wainjilisti na waalimu na Neno lake. Yeye anajua nani anamtumikia Mungu na yupi anasimama na adui
Baraka iwe juu yao.
Apigwe Nduli ApigweAsurubiwe asurubiweeeeeee
Aje lkn atambue macho na masikio ya Watanzania yote yapo kwakeWatabweka Sana, mwarabu huyu hapa
Uzuri ni kwamba wamejikita kwenye hoja zao. Hawajayumbishwa hadi sasaYaani wakatoliki Wana akili sanaaaa , wanafanya mambo Kwa reference kabisa. Mmebarikiwa sanaaa ndio maana mnaonaga mbali sanaaa
Huyu paroko angejikita kwenye masuala ya kiroho, hajui lolote kuhusu uchumi wa bandari kwa ujumla.Leo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"
Amenukuu Maneno yaliyopo kwenye Kitabu cha "My Life, My Purpose" cha Hayati Benjamin Mkapa alipojutia mambo mbalimbali ya Ovyo aliyoyafanya wakati wa Utawala wake ikiwemo kashfa maarufu ya EPA "Wahuni walitumia uaminifu wangu kwa chama kunishawishi nikubali Ninajisikia kuwa nilitumika na kusalitiwa..."
"Kama Wahuni waliweza kumlaghai Rais Mkapa kuingia Mikataba ya ajabu basi hawawezi kushindwa kumlaghai Rais Samia kwamba Mkataba huu una tija"
SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU
Bahati mbaya hata viongozi tulionao sasa hivi ni wahuniWahuni siyo watu kabisa
Kwenye hili masheikh waondoeRoho Mtakatifu ana namna ya ajabu kabisa ktk kuwasiliana na watu wake.
Haijapata kutokea akatumia lugha ngumu.
Mungu awatuze maaskofu, mashekhe, wachungaji, walii, wainjilisti na waalimu na Neno lake. Yeye anajua nani anamtumikia Mungu na yupi anasimama na adui
Baraka iwe juu yao.
Iringa Parokia ya Bikira Maria wa Consolata- Mshindo umesomwa,na waamini wakashangilia na kupiga makofi ya Nguvu,katika Misa zote nneParokia gani huko? Kawe haujasomwa labda kama wamesoma Misa ya kwanza au Parokia zinasoma kwa zamu.
Kumshambulia Paroko haisaidii, Jibu hojaHuyu paroko angejikita kwenye masuala ya kiroho, hajui lolote kuhusu uchumi wa bandari kwa ujumla.
Ni tatizo lile lile la watanzania kuwa na elimu za kuokotaokota huko google kisha wakitoka nje wanaanza kuongea kwa kirefu kuhusu suala wanalolijua kwa maarifa madogo sana.
Ni matatizo ya ukosefu wa elimu na yeye ni mfano tu wa namna watanzania tulivyo na urahisi wa kucheza na masuala ya kitaalam.