JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Uzuri ni kwamba hakuna vya bure popote dunia hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri kwamba unafahamu hilo. Na huko utakapopewa utajiri uwezekano ni mkubwa mbeleni wakatataka vya kuzaliwa, hivyo hakikisha unafanya kazi haswa uwe na stock ya kutosha.Hata wewe ulpozaliwa hukutokea bure, kuna kazi ilifanyika kubwa. In my world everything comes with a price.
Hichi si kijiwe cha JF? Nikikujibu uhalali wa jibu utaondolowa sababu umejibiwa kijiweni? Hata hivyo Soma uelewe.Wewe uliyajuaje hayo, wewe ni mshirika au stori za vijiweni
Kwa jibu hili ni wazi bado mambo ni magumu.Ni lazima !?
Kwa muandiko huu ni dhahiri bado hujafikia lengo.Mimi nimeshafanikiwa, ila Jibu swali, ni lazima au kuna ulazima wa kuleta mirejesho? Je kila kitu kinafaa kuleta mrejesho?! Itakusaidia nini kuujua mrejesho ilihali sio member, freemason wana msemo wao mzuri sana naupenda unasema "to be one, ask one".
Kubet raha sana. Jana night nimecheza live bet ya betpawa kwa tsh. 50, nimecashout 330k baada ya kuona mechi moja itanivurugia.bora nibeti tu aisee...
Mtafute Lwanda magere akupe connectionKama ambavyo awali nilikwisha jitokeza kuomba 'Connection' ya mtaalam au wataalam wa ndagu za utajiri au utajiri wa nguvu za giza.
Nasikitika kusema kuwa bado sijapata haswa sehemu ambayo mhusika anaweza kunishika mkono kunipeleka au kuwa kama 'Godfather' kuniinguza katika ufalme huo wa giza haswa kupata utajiri.
Mwanzoni uzi wangu nilishuhudia walioniunga mkono, nilipata madalali wengi, matapeli pia walikuepo, wachache walionielekeza sehemu asilimia kubwa nilikuta mtaalam amehama / kufariki kwahio kuniwia vigumu.
Najua pia ilivyo ngumu mtu kuamini haswa kwa dhati kwamba huyu mtu kweli anataka kuchukua njia hio na kupelekea hata aliyekua na connection au alie upande huo kuwa na ugumu sana kukupa connection. Wengine tu hawataki, hakuna sababu maalum lakini hawataki tu na huwezi kumlazimisha.
Mimi bado naendelea na safari yangu ya kuutafuta utajiri wa nguvu za giza au ufalme wa giza, hakuna ubaya katika hilo, ni imani kama imani nyingine, umasikini ni laana, umaskini hauzoeleki, siutaki umaskini, nimeulaani umaskini, na mpendwa wangu Lucifer alisema wazi kuwa ukinisujudia nitakupa mali zote za dunia hii, nami nataka ku claim hiyo power.
Hivyo naendelea kujitokeza kwa wale ambao wataweza kunisaidia kunipa.connection ya UHAKIKA ama kunipeleka basi waweze kunisaidia katika hilo.
Hail Lucifer!
ANGALIZO: Wale walokole na wafia dini nawaomba mtulie, siwahitaji kwenye uzi wangu.
90% ya watz wanaserch still not yet thus Ingekuwa ni rahisi watz wengi wangekuwa matajiriHao unaowasemea ni wahuni wavuta bangi wale wanaobandika matangazo barabarani au wanaotuma msg za kitapeli. Kama wana nia kweli they should keep searching and searching bila kuchoka until they will find my dearest devil and give them what they want and in return they will offer what they have. Simple!
Waafrika uamini shortcut ya waganga.Utajiri wa dini ya nguvu za Giza sio wa kila mtu jombaa, it's not childs play. By the way lini umefanya sensa ya kujua tuna mamilionea wangapi na vyanzo vyao vya utajiri ni vipi bila kupepesa macho.
Bwana bwana, kweli dunia ina mambo 😲😲na mpendwa wangu Lucifer alisema wazi kuwa ukinisujudia nitakupa mali zote za dunia hii, nami nataka ku claim hiyo power.
Asee, it's not that simple mzee, nimewahi kwenda tena kwa yule og kabisa lakini nilichoambiwa nasikitika sana, ila kwa speed yako nnavyoiona we hautashindwadearest devil and give them what they want and in return they will offer what they have. Simple!
Uko utajiri ila wa punje uko tayari!!?[emoji1787]
Yaani kuku anatengewa punje idadi atakayokula ni miaka yako ya kuishi baada ya kupewa miburungutu ya fwedha.
Akila punje 5 utafaidi hizo hela kwa miaka 5 tu na hela hela kwei sio vijihela
😅😅😅 Ngafu.....Sihitaji mana sina mke na zaidi sina mashine, niliikata kwenye process za kuutafuta utajiri wakapewa mbwa wakala, endelea kua na hofu na huyo mungu wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, bado sijatusua sema capital ya kubet ni ndogo sana ukilinganisha na faidaHongera mkuu kwa kubet shilingi 50 na kupata laki 3 na thalathini! , umeshatusua kimaisha.
Sawa mkuu,La msingi ni ku make use of that money izalishe maradufu, na sio inaisha unaanza kutafuta hela ya kubet tena, na kamari ni uraibu unaweza jikuta unauza hadi boksa ili upate ya kubetia.