Part II: Bado safari yangu ya kusaka utajiri wa nguvu za giza inaendelea

Part II: Bado safari yangu ya kusaka utajiri wa nguvu za giza inaendelea

Status
Not open for further replies.
Kama ambavyo awali nilikwisha jitokeza kuomba 'Connection' ya mtaalam au wataalam wa ndagu za utajiri au utajiri wa nguvu za giza.

Nasikitika kusema kuwa bado sijapata haswa sehemu ambayo mhusika anaweza kunishika mkono kunipeleka au kuwa kama 'Godfather' kuniinguza katika ufalme huo wa giza haswa kupata utajiri.

Mwanzoni uzi wangu nilishuhudia walioniunga mkono, nilipata madalali wengi, matapeli pia walikuepo, wachache walionielekeza sehemu asilimia kubwa nilikuta mtaalam amehama / kufariki kwahio kuniwia vigumu.

Najua pia ilivyo ngumu mtu kuamini haswa kwa dhati kwamba huyu mtu kweli anataka kuchukua njia hio na kupelekea hata aliyekua na connection au alie upande huo kuwa na ugumu sana kukupa connection. Wengine tu hawataki, hakuna sababu maalum lakini hawataki tu na huwezi kumlazimisha.

Mimi bado naendelea na safari yangu ya kuutafuta utajiri wa nguvu za giza au ufalme wa giza, hakuna ubaya katika hilo, ni imani kama imani nyingine, umasikini ni laana, umaskini hauzoeleki, siutaki umaskini, nimeulaani umaskini, na mpendwa wangu Lucifer alisema wazi kuwa ukinisujudia nitakupa mali zote za dunia hii, nami nataka ku claim hiyo power.

Hivyo naendelea kujitokeza kwa wale ambao wataweza kunisaidia kunipa.connection ya UHAKIKA ama kunipeleka basi waweze kunisaidia katika hilo.

Hail Lucifer!

ANGALIZO: Wale walokole na wafia dini nawaomba mtulie, siwahitaji kwenye uzi wangu.
Connection yangu wewe huitaki.
kama ungeitaka ningekupa buree na bila hata kuonana.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Uko utajiri ila wa punje uko tayari!!?[emoji1787]

Yaani kuku anatengewa punje idadi atakayokula ni miaka yako ya kuishi baada ya kupewa miburungutu ya fwedha.

Akila punje 5 utafaidi hizo hela kwa miaka 5 tu na hela hela kwei sio vijihela
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom