Part II: Bado safari yangu ya kusaka utajiri wa nguvu za giza inaendelea

Status
Not open for further replies.
Tunao ishi katika ulimwengu wa pesa hzo tuna jua karaha yake na raha Yake,,karaha Yake unapo daiwa mrejesho na muda wa kufanya mambo ukiwa umefika si wote watakupeleka au watakuelekeza wengne wanakupima iman Kwanza

Kila Jambo Lina subira ,bila uvumilivu kuwa nao huwez kufanikiwa hata kidogo nakushaur anzia na kidogo Kwanza

Huwez kufanikiwa Kama mwili mchafu lazima tuukogeshe Kwanza ndio harakati zingne zianze

Mafanikio hayo yanahtaji uvumilivu kuna mitihani mingi Sana ndani yake

Kumbuka unaingia katika maagano mazito Sana ndugu ila karibu Sana Tena karibu Sana

Nakushaur chukua ndere tu ya mvuto na kupendwa na watu na kila neno lako lisipingwe kuwa na kabiashara kadogo ndani ya miez sita utaona habar yake utajishangaaa
 
Tusipangiane! Wewe kua expert sana ama kutokua expert hainisaidii sababu huwez nisaidia nachohitaji, Wewe baki na ndere yako, na mimi nibaki na mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hv vitu havihiitaji hasira hata sis tulishauriwa Sana na tukaelewa maana ya ushauri Ni Nini ila kila kheri Sana katika mapambano yako ya kutafuta shilingi ukifanikiwa utaleta mrejesho

Ila kwa muonekano Bado hujakidhi vigezo na kiukweli hutokaa kufanikiwa kwa njia unayo itaka

Mtu hawez kukupeleka kunako mpa pesa bila utaratibu maalumu
 
Sina hasira wala nini ila wewe nmekugundua ni mbabaishaji tu huna lolote. Perepeche nyingi lakini hamna kitu. The real occultists hua hawana perepeche nyingi,kujibrag wanajua na kuona wemgine hawana vigezo haha, the real ones kwanza huwez kuwakuta wsmekoment kwenye thread hua wanakuja direct wanakuambia wanachotaka kukuambia thsts it. Wewe endelea na perepeche zako kwanza naona unatafuta connection kimtindo au ni dalali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hasira nyingi kijana Sina shida ya connection,, mpambanaji hatafutiwi connection Aiseeee nimetafuta mwenyewe kwahyo Nina aamua kukuelekeza au kuto kuelekeza inategemea na akil ya mtu nae taka kumpa connection iko vipi na Sina shida ya kujibrand humu aiseee
 
Kama ambavyo awali nilikwisha jitokeza kuomba 'Connection' ya mtaalam au wataalam wa ndagu za utajiri au utajiri wa nguvu za giza.

Nasikitika kusema kuwa bado sijapata haswa sehemu ambayo mhusika anaweza kunishika mkono kunipeleka au kuwa kama 'Godfather' kuniinguza katika ufalme huo wa giza haswa kupata utajiri.

Mwanzoni uzi wangu nilishuhudia walioniunga mkono, nilipata madalali wengi, matapeli pia walikuepo, wachache walionielekeza sehemu asilimia kubwa nilikuta mtaalam amehama / kufariki kwahio kuniwia vigumu.

Najua pia ilivyo ngumu mtu kuamini haswa kwa dhati kwamba huyu mtu kweli anataka kuchukua njia hio na kupelekea hata aliyekua na connection au alie upande huo kuwa na ugumu sana kukupa connection. Wengine tu hawataki, hakuna sababu maalum lakini hawataki tu na huwezi kumlazimisha.

Mimi bado naendelea na safari yangu ya kuutafuta utajiri wa nguvu za giza au ufalme wa giza, hakuna ubaya katika hilo, ni imani kama imani nyingine, umasikini ni laana, umaskini hauzoeleki, siutaki umaskini, nimeulaani umaskini, na mpendwa wangu Lucifer alisema wazi kuwa ukinisujudia nitakupa mali zote za dunia hii, nami nataka ku claim hiyo power.

Hivyo naendelea kujitokeza kwa wale ambao wataweza kunisaidia kunipa.connection ya UHAKIKA ama kunipeleka basi waweze kunisaidia katika hilo.

Hail Lucifer!

ANGALIZO: Wale walokole na wafia dini nawaomba mtulie, siwahitaji kwenye uzi wangu.
Vibao mitaani viko vingi sana na vina namba za simu,
 
Walokole ndio mmefanikiwa? Halaf kanisa lipi unalozungumzia, kanisa mapadri na wachungaji kufanya ngono na waumini na wake zenu ? Kanisa mnapowatajirisha wachungaji na manabii hadi wananunua private jets huku nyie mkiwa maskin wa kutupwa. , ni kanisa lipi unalozungumzia..

Sent using Jamii Forums mobile app
taarifaa mbaya kwako ni HAUTAFANIKIWA
 
Tayari nimeolewa.
Hata ingekuwa bado, siwezi kuja kukulilia wewe mwanga.

Ujumbe wangu ni ule ule,urudi kwa Mungu wako.
Fedha na dhahabu ni mali Yake.

Usiporudi basi jiandae kutangatanga hadi mwisho,,hupati kitu huko...
Muombe Mungu,fanya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada pesa ,magari na mali ni vitu vya mpito ila hakikisha vinapitia kwako
 
Kama ambavyo awali nilikwisha jitokeza kuomba 'Connection' ya mtaalam au wataalam wa ndagu za utajiri au utajiri wa nguvu za giza.

Nasikitika kusema kuwa bado sijapata haswa sehemu ambayo mhusika anaweza kunishika mkono kunipeleka au kuwa kama 'Godfather' kuniinguza katika ufalme huo wa giza haswa kupata utajiri.

Mwanzoni uzi wangu nilishuhudia walioniunga mkono, nilipata madalali wengi, matapeli pia walikuepo, wachache walionielekeza sehemu asilimia kubwa nilikuta mtaalam amehama / kufariki kwahio kuniwia vigumu.

Najua pia ilivyo ngumu mtu kuamini haswa kwa dhati kwamba huyu mtu kweli anataka kuchukua njia hio na kupelekea hata aliyekua na connection au alie upande huo kuwa na ugumu sana kukupa connection. Wengine tu hawataki, hakuna sababu maalum lakini hawataki tu na huwezi kumlazimisha.

Mimi bado naendelea na safari yangu ya kuutafuta utajiri wa nguvu za giza au ufalme wa giza, hakuna ubaya katika hilo, ni imani kama imani nyingine, umasikini ni laana, umaskini hauzoeleki, siutaki umaskini, nimeulaani umaskini, na mpendwa wangu Lucifer alisema wazi kuwa ukinisujudia nitakupa mali zote za dunia hii, nami nataka ku claim hiyo power.

Hivyo naendelea kujitokeza kwa wale ambao wataweza kunisaidia kunipa.connection ya UHAKIKA.

Sent using Jamii Forums mobile app
huku kusini kuna mwandoromi amefaliki ila mikoba amemwachia mtoto wake.
 
Lazima kuroga.
Screenshot_20210728-135347.jpg
 
Kama ambavyo awali nilikwisha jitokeza kuomba 'Connection' ya mtaalam au wataalam wa ndagu za utajiri au utajiri wa nguvu za giza.

Nasikitika kusema kuwa bado sijapata haswa sehemu ambayo mhusika anaweza kunishika mkono kunipeleka au kuwa kama 'Godfather' kuniinguza katika ufalme huo wa giza haswa kupata utajiri.

Mwanzoni uzi wangu nilishuhudia walioniunga mkono, nilipata madalali wengi, matapeli pia walikuepo, wachache walionielekeza sehemu asilimia kubwa nilikuta mtaalam amehama / kufariki kwahio kuniwia vigumu.

Najua pia ilivyo ngumu mtu kuamini haswa kwa dhati kwamba huyu mtu kweli anataka kuchukua njia hio na kupelekea hata aliyekua na connection au alie upande huo kuwa na ugumu sana kukupa connection. Wengine tu hawataki, hakuna sababu maalum lakini hawataki tu na huwezi kumlazimisha.

Mimi bado naendelea na safari yangu ya kuutafuta utajiri wa nguvu za giza au ufalme wa giza, hakuna ubaya katika hilo, ni imani kama imani nyingine, umasikini ni laana, umaskini hauzoeleki, siutaki umaskini, nimeulaani umaskini, na mpendwa wangu Lucifer alisema wazi kuwa ukinisujudia nitakupa mali zote za dunia hii, nami nataka ku claim hiyo power.

Hivyo naendelea kujitokeza kwa wale ambao wataweza kunisaidia kunipa.connection ya UHAKIKA ama kunipeleka basi waweze kunisaidia katika hilo.

Hail Lucifer!

ANGALIZO: Wale walokole na wafia dini nawaomba mtulie, siwahitaji kwenye uzi wangu.
Ukipata twende wote mkuu nPm tuuh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom