Part one: Swali kwa wanaume tu

Nimekumbuka
ikivaliwa shingoni huitwa mkufu na ikienda kiunoni hubaki kama cheni na ikija mkononi huitwa bangili so hutoelewa kitu kwa sababu inabadilika jina kutokana na mazingira

kubwa ondoa mambo ya ku assume
 
Nadhani ntagundua kwa kuangalia idadi ya mizunguko ya hiyo cheni.
Mfano ikivaliw shingoni itakua na mizunguko miwili, na ikivaliwa mkononi itakua na mizunguko zaidi ya miwili.
 
Kwa mujibu namna watu wanavyoumiza kichwa kutafuta majibu ya bidada juu ya cheni ya kiunoni a.k.a shangaa ya materials ya aina nyingine mbal ya ile iliyozoeleka, hii inaashiria kwamba kumbe ni idadi kubwa sana ya wanaume siku hiz huvaa hivi vitu aiseee.. ( si mimi lakin, ni kwa mujibu wa swal.. [emoji23][emoji23]
 
Weka picha ya kiuno chako nione kama inafanana na hii cheni
 
Nitaelewa vizuri tu
 
mi siwezi kuelewa!
Sababu issue ni matumizi to many, sina uhakika kama kuna specifications maalum za cheni za kiunoni!
chain ukiiweka shingoni, siwezi jua kuwa ni ya kiunoni, ila ukiiweka mkononi kwa kuwa itakuwa na mizunguko mingi kuliko kawaida naweza kuhisi kuwa ni ya shingoni na wala sio kiunoni!
Ila akivaa shanga iliyozungushwa several times mkononi nitajua tu kuwa hii haikutengenezwa kwa ajili ya mkono au shingo!
 
Nazijua tu shanga hao wa cheni sikubahatika kuonana nao

Jibu siwezi kuutambua
 
Kabla sijakujibu una vyeti?.... Maana swali lako limekaa kizinzi zinzi tu!
 
Kwahiyo unadhani wake zetu wote ni jamii ya nyani kuveshwa kamba kiunoni?
 
sasa hili swali lako ndugu yangu,lina mchango gani ktk ujenzi wa Tanzania mpya ya viwanda?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwangu mimi hili swali nilivyolielewa ni hivi huyo mwanamke atakua amepita anelekea anakokujua huku wewe(mwanaume) kwa bahati wakati uki kijiweni au mnapishana njiani ndio mtamuona kuwa kavaa cheni shingoni au mkononi, kwa hiyo basi kama sio mke wako ama girlfriend wako hauwezi ukajua kama huyo mwanamke anavaaga cheni kiunoni mpaka useme hiyo aliyovaa ilikua ya kiunoni.
 
Itakia ndefu sana... SO itajulikana kuwa hii ni ya kiunoni
 
Swali linauliza wangapi watagundua,wakati huo huo anayeulizwa ni mmoja. Kama swali hili ndo kipimo cha IQ,basi muuliza swali atakuwa na IQ ndogo sana.
 
Haiwezekan cheni yakiunoni ukavaa mkononi
Kwanza kiuno kikubwa mnoo kushinda ulivyovisema hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…