Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaelewa vizuri tuTunataka kupima IQ zenu wanaume.
Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.
Swali la kwanza;
Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?
mi siwezi kuelewa!Tunataka kupima IQ zenu wanaume.
Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.
Swali la kwanza;
Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?
Cheni au shanga?ahaaaa haki ya mungu naapa ninazo siku nyiiingi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikipata chini ya 70 out of 100. Usinianike nionekane bashite mimi
hahahhahhaahusinichoshe kama unajua jibu liandike tu
Kwahiyo unadhani wake zetu wote ni jamii ya nyani kuveshwa kamba kiunoni?Tunataka kupima IQ zenu wanaume.
Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.
Swali la kwanza;
Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sasa hili swali lako ndugu yangu,lina mchango gani ktk ujenzi wa Tanzania mpya ya viwanda?
Kwangu mimi hili swali nilivyolielewa ni hivi huyo mwanamke atakua amepita anelekea anakokujua huku wewe(mwanaume) kwa bahati wakati uki kijiweni au mnapishana njiani ndio mtamuona kuwa kavaa cheni shingoni au mkononi, kwa hiyo basi kama sio mke wako ama girlfriend wako hauwezi ukajua kama huyo mwanamke anavaaga cheni kiunoni mpaka useme hiyo aliyovaa ilikua ya kiunoni.Tunataka kupima IQ zenu wanaume.
Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.
Swali la kwanza;
Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?
Itakia ndefu sana... SO itajulikana kuwa hii ni ya kiunoniTunataka kupima IQ zenu wanaume.
Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.
Swali la kwanza;
Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?
Swali linauliza wangapi watagundua,wakati huo huo anayeulizwa ni mmoja. Kama swali hili ndo kipimo cha IQ,basi muuliza swali atakuwa na IQ ndogo sana.Tunataka kupima IQ zenu wanaume.