Pasaka hii twende tukapumzike Kisiba Campsite. Hautojutia, wewe na umpendaye

Pasaka hii twende tukapumzike Kisiba Campsite. Hautojutia, wewe na umpendaye

Oh!safi,inavutia sana.
images (9).jpeg
 
Asante kwa taarifa...

Uliposema waterfall ndo umenikamata....

Nikirudi nyumbani wakati wa likizo, ntakuja kutembea niweke kambi walau usiku mmoja.

Mradi tuu kusiwe na nyoka na simba tafadhali hapo penye kulala kempu.....😀.
Hakuna burudani nzuri kwenye utalii kama kukutana na nyoka wa aina tofautitofauti, simba hawana mpango zaidi ya ubishoo.
 
Kuna mwl wangu wa chuo tukikubaliana kama ilivyo kawaida yetu nitakuja nae ñgoja nimlie timing mjeda ninae share nae tunda mujarabu
 
Mimi huo mpira live hapo umenivutia kuliko vyote, hebu ngoja tuone.
B… Mdakuzi Any consideration?
 
Mbona uwasilishaji wa mada hapa JF uko nusu nusu sana? Kizazi gani hiki? Weka bei za vingilio watu wajue wanajipanga vipi, sio lazima mpaka uulizwe.
Aeleweke maana mimi na my wangu wa hunu Jf tunataka tukatalii japo siku 3. Tujue unalala kwa sh? Kula na entertainment zingine
 
Hadi dk za nyongeza gharama ni nauli yako ukifika huko vitu vyote ni free iwe kula kulala na vinywaji na aliye single anakabidhiwa Mnyaki mmoja wa kushughulika the whole night akina Tusajigwe na Mwaisa wapo kwa jinsia zote.
Na log off
 
Back
Top Bottom