To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]akina tujenagwe na TulipoHadi dk za nyongeza gharama ni nauli yako ukifika huko vitu vyote ni free iwe kula kulala na vinywaji na aliye single anakabidhiwa Mnyaki mmoja wa kushughulika the whole night akina Tusajigwe na Mwaisa wapo kwa jinsia zote.
Na log off
🤣🤣[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]akina tujenagwe na Tulipo
Kumbe Kasie ni mtu wa huko!!Asante kwa taarifa...
Uliposema waterfall ndo umenikamata....
Nikirudi nyumbani wakati wa likizo, ntakuja kutembea niweke kambi walau usiku mmoja.
Mradi tuu kusiwe na nyoka na simba tafadhali hapo penye kulala kempu.....😀.
Mimi najitolea kukulinda dhidi ya nyoka na masimba pindi wewe ukiwa umelala ntakuwa pembeni yako
Hakuna burudani nzuri kwenye utalii kama kukutana na nyoka wa aina tofautitofauti, simba hawana mpango zaidi ya ubishoo.
Kumbe Kasie ni mtu wa huko!!
Jamaa mmoja aliniambia wajerumani wakiika Tukuyu” Langbosch”
TuwasilianeHaya ndo mambo nayapenda....
Nshaanza kufanya mchakato wa safari...
Nimezimiss zile nywele, nadaiwa wine na 🦐 prawns. Naomba tuonane nilipe madeni yanguAsante kwa taarifa...
Uliposema waterfall ndo umenikamata....
Nikirudi nyumbani wakati wa likizo, ntakuja kutembea niweke kambi walau usiku mmoja.
Mradi tuu kusiwe na nyoka na simba tafadhali hapo penye kulala kempu.....😀.
Hizi stori sijui nani aliwadanganya watanganyika😂😂Ukiachana na muonekano wa eneo hili la kitalii, pia ni eneo mojawapo lililojaa masimulizi mbalimbali ya wajerumani ikisadikika kwamba ndani ya ziwa hili wajerumani waliweza kutupa vitu vyao vya Thamani.
Ingia ziwani kazamie kwenye sakafu uibuke tajiriHizi stori sijui nani aliwadanganya watanganyika😂😂
Ume[emoji2089][emoji2089][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544]
Nimezimiss zile nywele, nadaiwa wine na 🦐 prawns. Naomba tuonane nilipe madeni yangu