Pasaka hii twende tukapumzike Kisiba Campsite. Hautojutia, wewe na umpendaye

Hadi dk za nyongeza gharama ni nauli yako ukifika huko vitu vyote ni free iwe kula kulala na vinywaji na aliye single anakabidhiwa Mnyaki mmoja wa kushughulika the whole night akina Tusajigwe na Mwaisa wapo kwa jinsia zote.
Na log off
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]akina tujenagwe na Tulipo
 
Mm hilo ziwa kwa story zake nimetokea kuliogopa..sijui kwanini..huwa naona kibao cha kuelekeza uelekeo wake..mwaka huu naweza kuja na familia tupaone panafananaje..
 
Asante kwa taarifa...

Uliposema waterfall ndo umenikamata....

Nikirudi nyumbani wakati wa likizo, ntakuja kutembea niweke kambi walau usiku mmoja.

Mradi tuu kusiwe na nyoka na simba tafadhali hapo penye kulala kempu.....😀.
Kumbe Kasie ni mtu wa huko!!
Jamaa mmoja aliniambia wajerumani wakiika Tukuyu” Langbosch”
 
Asante kwa taarifa...

Uliposema waterfall ndo umenikamata....

Nikirudi nyumbani wakati wa likizo, ntakuja kutembea niweke kambi walau usiku mmoja.

Mradi tuu kusiwe na nyoka na simba tafadhali hapo penye kulala kempu.....😀.
Nimezimiss zile nywele, nadaiwa wine na 🦐 prawns. Naomba tuonane nilipe madeni yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…