- Thread starter
- #121
Ni vizuri pia, wengi wanatoka kesho j3 ya pasaka kuliko leo. Pasaka ni sherehe ya ndani, kama una familia ndo vizuri zaidi.Yani kwakweli leo nipo JF muda mrf mnooo yani nikiacha labda dkk 10 tuu...hahaha..mm sio mtembezi hasa siku za sikukuu mkuu nikishashiba nakaa zangu tuu nyumbani..labda ninywe kidogo dompo maana bia sinywi..naona hata uvivu kutoka..