Pasaka unailia kiwanja gani?

Pasaka unailia kiwanja gani?

Yani kwakweli leo nipo JF muda mrf mnooo yani nikiacha labda dkk 10 tuu...hahaha..mm sio mtembezi hasa siku za sikukuu mkuu nikishashiba nakaa zangu tuu nyumbani..labda ninywe kidogo dompo maana bia sinywi..naona hata uvivu kutoka..
Ni vizuri pia, wengi wanatoka kesho j3 ya pasaka kuliko leo. Pasaka ni sherehe ya ndani, kama una familia ndo vizuri zaidi.
 
Bado naendelea kujiuliza, ni kwann sikukuu za kidini ndio ambazo, Gest, Lodge ,Bar zinajaa walevi ngono zembee.

Yaan unafunga mwezi mzima,unakula usiku tu Mara Moja.

Alafu kile kilele Cha mfungo wako, Unaenda kuzinzi na kunywa Pombe??.

Huwa mnafunga au mnamua tu kushinda njaa kubana matumizi?.
Mambo ya Dini na imani ni magumu sana mkuu
 
Ni vizuri pia, wengi wanatoka kesho j3 ya pasaka kuliko leo. Pasaka ni sherehe ya ndani, kama una familia ndo vizuri zaidi.
Kweli kabisa...sherehe za kutembea yani nyomi kama lote..beach..sijui bustani za picha sijui madisko toto ni sherehe ya Idd inakuwaga na amsha amsha sio ya kitoto..watu wanalipizia
 
Asalaam,

Hakika Mwana Kondoo amefufuka na hivyo basi tumfuate, Kheri za Pasaka kwenu.

Bila kupoteza muda tupeane code ni wapi leo utaenda kufurahia sherehe zako za pasaka ukishashiba pilau la nyumbani kwako.

Karibuni.
Hapa nyumbani tulimla kondoo toka Vingunguti, na sasa niko hapa Sinza Kamanyola namshushia kwa Whiskey na ndizi choma. Niko na washikaji toka mchana hapa tukiwasubiri vijana wachovu wa Zanzibar watafutao watu wa kuwachapa viboko wakiwa wanafurahia maisha yao ila mpaka mida hii hatujawaona wanapita maana tunataka kuwashikisha adabu mpaka wajute kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom