Pascal Mayalla adai Waziri Mpango alitumia muda mwingi katika kusifu alipowasilisha bajeti. Asema yeye siyo MATAGA na hatafuti uteuzi!

Mpango alimwaga sifa kwa aliyemteua kimkakati, huu ni mwaka wa uchaguzi hivyo anajiandalia mazingira ya kukumbukwa huko mbeleni.
 
Kuna mbunge kujadili maisha binafsi ya Mbowe kama Mbowe. Na kuna maisha binafsi ya Mbowe kama KUB ambae ni kiongozi wa umma. Sasa kama kiongozi wa umma ndio anaruhusiwa kulewa chakari na kula bata na vimada, sijui kama inakubalika.
ANGEKUA ANALEWA NA KIRA BATA NA VIMADA KAMA USEMAVYO NAZANI LE MUTUZ MEDIA LINGEMUANIKA LIVE
 
Kuna mbunge kujadili maisha binafsi ya Mbowe kama Mbowe. Na kuna maisha binafsi ya Mbowe kama KUB ambae ni kiongozi wa umma. Sasa kama kiongozi wa umma ndio anaruhusiwa kulewa chakari na kula bata na vimada, sijui kama inakubalika.
Ushahidi wa wabunge (CCM) kujadili maisha binafsi upo hadharani.
Tuwekee ushahidi wa maisha binafsi ya KUB yaliyokuwa yakijadiliwa na wabunge (CCM).
 
Sikuwahi kudhani Kapuku Pascal ana sekretari hapa jf , maana hata akizungumzia chooni lazima ulete habari zake ! hongera pasco kwa kuwa na katibu muhtasi ndani ya ofisi ndogo
 
Sikuwahi kudhani Kapuku Pascal ana sekretari hapa jf , maana hata akizungumzia chooni lazima ulete habari zake ! hongera pasco kwa kuwa na katibu muhtasi ndani ya ofisi ndogo
Hahahaaaa........ Sugu anastaafu ubunge utarudi kuuza cocoa kajunjumele!
 
umepewa za uso unaleta uzushi ! pascal kutwa kucha yuko jf , kisa cha kuleta mambo yake wakati mwenyewe yupo ni kipi , au hii nayo ni ID yake ?
Kama ni mbunge wangu mtarajiwa pale Kibamba kwanini nisilete taarifa zake?

Viongozi wa Chadema wana maplastiki vichwani by Lwakatare!
 
Kuna mbunge kujadili maisha binafsi ya Mbowe kama Mbowe. Na kuna maisha binafsi ya Mbowe kama KUB ambae ni kiongozi wa umma. Sasa kama kiongozi wa umma ndio anaruhusiwa kulewa chakari na kula bata na vimada, sijui kama inakubalika.
Kwa taarifa yako na wengine wa Kariba yako ni kuwa, Mbowe kawa maarufu Mara dufu na amejadiliwa kuliko bajeti ya serikali! Hii maana yake ni kuwa watanzania wamelidharau bunge pamoja na mijadala yao juu ya bajeti na wamewapuuza mno! Huu ni uchambuzi na mtazamo wa kisomi na ninyi msiojua kupima hoja na perception za watu hamtagundua jinsi baadhi ya viongozi wa ccm mnaodhani wapo pamoja na mwenyekiti kumbe wanampiga na kumharibia kisayansi! Endeleeni kumjaza sifa huku Mbowe akiibuka shujaa wa mioyo ya watanzania!
 
Mambo ya ajabu kusema mambo binafsi ya mtu badala ya kujadili maswala ya msingi ya kitaifa
 
Spika ni mzigo mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…