Pascal Mayalla adai Waziri Mpango alitumia muda mwingi katika kusifu alipowasilisha bajeti. Asema yeye siyo MATAGA na hatafuti uteuzi!

Pascal Mayalla adai Waziri Mpango alitumia muda mwingi katika kusifu alipowasilisha bajeti. Asema yeye siyo MATAGA na hatafuti uteuzi!

Siyo dhambi kusifia serikali
Siyo dhambi kupinga serikali
Ni ufala kusema mambo binafsi ya mtu tena bila ushahidi
Wabunge siyo Malaika wanakulana na wanalika kirahisi sana
Tuache majungu na uzushi tuchape kazi kweli kweli

Taswira ya ishu ya Mbowe inaonesha namna Bunge lilivyo sheheni mautopolo wa kifikra, very absurd for Tanzania image, we need revised criteria for someone to qualify to contest for an MP seat. Do we really need to become rebels to reform the way we run our issues in TZ? Many of those MPs are womenizers why such nuisance with Mbowe private life?, I can really assume God punishing some of them to death before October,2020. Let's join hands for Mbowe regardless of our political affiliation, let's win smart and wisely. Our Mps portrayal is sowing pandemic for Tanzania.
 
Ni katika mjadala wa waandishi kwenye kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari.

Pascal anasema bajeti ya nchi inatakiwa kuwasilishwa kitaaluma lakini juzi waziri wa fedha Dr Mpango ametumia muda mwingi katika kusifu ukilinganisha na kuifafanua bajeti.

Mwandishi Moses Methew alimpinga Pascal kwa madai kuwa Dr Mpango alizitumia vizuri dakika 60 za mwanzo hivyo hakuna ubaya wowote kutumia dakika 135 zilizobaki kusifiana.
Moses amesema hata Pascal Mayalla mwenyewe katika dakika 10 alizopewa kwenye mjadala huu ametumia dakika 7 katika kusifu na mgeni wake kamwachia dakika 3 tu.

Katika kujibu Pascal amedai yeye husifu kimantiki siyo kama wafanyavyo wale Mataga na wala hatafuti Uteuzi kama rafiki zake wa Jf wanavyomzushia.

Mwisho mwandishi Moses Methew amevilaumu vyombo vya habari na bunge kwa kutumia muda mwingi kujadili mambo binafsi na faragha za Mbowe.

Amesema inasikitisha kuona bunge zima linajadili " maisha binafsi " ya Mbowe kana kwamba Mbowe ndio bajeti ya serikali.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!

I have said severally and would always say Philip Mpango appointment as minister is primarily on his language swangwinship, he confuses people with his wordy speeches,. I wish Professor Musa Asad was our Finance minister, who knows, a day might come for him,. For God and For Ourselves, Amen.
 
Ndugu ushauri wa bure mtafute yule bb kizee akufundishe japo kuandika
Maisha ya mtu wapi? Chadema sindio walioanza kupereka maisha ya mbowe kujadiriwa? Kuna mtu yyte alianza kusema mbowe alilewa? Mbowe alikuwa kwa kimada chake?

Wajiraumu wenyewe , maana hawakufanya utafiti wakutosha kabla ya kutoka hadharani.

Nilishaga waambia Harakati ni tofauti na Siasa, chadema Siasa wamezishindwa wamegeuka kuwa kundi la wanaharakati ndani ya siasa
Nawashauri chadema wakae chini na wakubariane na matokeo ya 3 bila.

Wajipange upya kwa kufumua mfumo mzima wa siasa zao na utawala ndani ya chadema.

Ova.
 
Kuna mbunge kujadili maisha binafsi ya Mbowe kama Mbowe. Na kuna maisha binafsi ya Mbowe kama KUB ambae ni kiongozi wa umma. Sasa kama kiongozi wa umma ndio anaruhusiwa kulewa chakari na kula bata na vimada, sijui kama inakubalika.
Mbona mkulu kazaa na Shemeji yake watoto wawili na akamzawadia cheo cha ukurugenzi huko morogoro, wabunge wa ccm hawajadili hii? Wambie wajadili ya mkulu kumpiga mkewe akalazwa muhimbili, wajadili na michepuko ya wabunge wa ccm kwani file zao zipo chadema pia
 
Waziri wa Fedha tena akiwasilisha bajeti ya nchi hapaswi kutoa sifa za kuhudhuria misiba, kuwaona wafungwa, kushiriki michezo, kwenda makanisani nk na kuonesha mh Rais ni kiumbe cha kipekee. Akikuwa amebakiza kidogo sana kuinama chini na kumsujudia Rais.

Tujifunze kupongeza vitu na kusonga mbele. Ni ajabu mpk sasa tunazungumzia bwawa la umeme, ndege, SGR, elimu bure, uhakiki wa wafanyakazi. Ilitosha kupongeza mambo hayo wakati yalipoanza. Tujifunze tunapoanza au kukamilisha jambo fulani, lingine hutokea au mahitaji huenda ngazi nyingine ya juu. Ni vema kusifia lakini si vema kutumia nguvu zote kusifia na kushindwa hata kuona mambo mengine.

Rais amefanya mambo mazuri, tumsifie kidogo na tumuoneshe mahitaji mengine hata kama itabidi kumkosoa kwa namna alivofanya aliyoyafanya tayari.

Ukimsifia sana mtu, unakosa uhalali wa kumwambia amekosea. Unaanza kumwogopa!! Huenda hizi sifa ni uoga!!

Kusifiwa kwa Mkuu iko obvious kwa sababu hawezi kuwa maarufu na hata kuwa maarufu kwa wasiopenda afanyayo na yeye kwenye ccm ni kama kifaranga ambacho ndio sasa kianze kuzaa watoto na wajukuu, the critics to him had fundamental blocks cemented for years, he was just an individual person in his political career, what he does makes him unpopular among market elites in commercialized politics, such background has predetermined what we see as unstopable political choirs of praises some of which are uncalled for and irrelevant. We would expect matters to speak for themselves. Anyway, we can easily forgive because of a small fish head prefecting in a big pond full of elite fishes. Good luck to them.
 
Kwanza we ni shujaa, kama umeweza kuangalia mpaka ukajua hayo mapungufu. Mimi hicho kinyaa hata nikikuta mtu anaangalia namdharau sana.
Hakuna mapungufu yoyote kwenye kujadili bajeti hii ya 2020-2021. Wapunge kwa ujumla wamepongeza na kusifia kile serikali imekifanya ndani ya miaka minne na nusu. Serikali imeimarisha kila sekta.Miundo mbinu,afya,elimu, nishati na madini. Kwa hiyo hakuna pa kukosoa ni kusifia tu.Na 2020-2021, ni muendelezo huo huo.
 
Mbona mkulu kazaa na Shemeji yake watoto wawili na akamzawadia cheo cha ukurugenzi huko morogoro, wabunge wa ccm hawajadili hii? Wambie wajadili ya mkulu kumpiga mkewe akalazwa muhimbili, wajadili na michepuko ya wabunge wa ccm kwani file zao zipo chadema pia
Nonsense.
 
Hakuna mapungufu yoyote kwenye kujadili bajeti hii ya 2020-2021. Wapunge kwa ujumla wamepongeza na kusifia kile serikali imekifanya ndani ya miaka minne na nusu. Serikali imeimarisha kila sekta.Miundo mbinu,afya,elimu, nishati na madini. Kwa hiyo hakuna pa kukosoa ni kusifia tu.Na 2020-2021, ni muendelezo huo huo.
Nonsense
 
Waziri wa Fedha tena akiwasilisha bajeti ya nchi hapaswi kutoa sifa za kuhudhuria misiba, kuwaona wafungwa, kushiriki michezo, kwenda makanisani nk na kuonesha mh Rais ni kiumbe cha kipekee. Akikuwa amebakiza kidogo sana kuinama chini na kumsujudia Rais.

Tujifunze kupongeza vitu na kusonga mbele. Ni ajabu mpk sasa tunazungumzia bwawa la umeme, ndege, SGR, elimu bure, uhakiki wa wafanyakazi. Ilitosha kupongeza mambo hayo wakati yalipoanza. Tujifunze tunapoanza au kukamilisha jambo fulani, lingine hutokea au mahitaji huenda ngazi nyingine ya juu. Ni vema kusifia lakini si vema kutumia nguvu zote kusifia na kushindwa hata kuona mambo mengine.

Rais amefanya mambo mazuri, tumsifie kidogo na tumuoneshe mahitaji mengine hata kama itabidi kumkosoa kwa namna alivofanya aliyoyafanya tayari.

Ukimsifia sana mtu, unakosa uhalali wa kumwambia amekosea. Unaanza kumwogopa!! Huenda hizi sifa ni uoga!!
Haya Mambo mazuri yaliyofanywa na magufuli yapo nchi hii hii ya Tanzania?
 
Hakuna mapungufu yoyote kwenye kujadili bajeti hii ya 2020-2021. Wapunge kwa ujumla wamepongeza na kusifia kile serikali imekifanya ndani ya miaka minne na nusu. Serikali imeimarisha kila sekta.Miundo mbinu,afya,elimu, nishati na madini. Kwa hiyo hakuna pa kukosoa ni kusifia tu.Na 2020-2021, ni muendelezo huo huo.

Kwa uwezo wako wa akili, sitegemei uje na mawazo tofauti zaidi ya haya.
 
Huyo ni mbwa tu msaka vyeo tu..... Anyways sasa anapenda kuukwaa udc yy na musiba baada ya kulamba makalio kipindi kirefu
 
Back
Top Bottom