Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,999
MAke TAnzania Great Again haaaa julie lini iliwahi kuwa greatKuna anaeweza fafanua 'mataga' maana yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAke TAnzania Great Again haaaa julie lini iliwahi kuwa greatKuna anaeweza fafanua 'mataga' maana yake?
Make Tanzania Great AgainKuna anaeweza fafanua 'mataga' maana yake?
Siyo dhambi kusifia serikali
Siyo dhambi kupinga serikali
Ni ufala kusema mambo binafsi ya mtu tena bila ushahidi
Wabunge siyo Malaika wanakulana na wanalika kirahisi sana
Tuache majungu na uzushi tuchape kazi kweli kweli
Ilitakiwa yule wa mtela,nawa Geita vijijini nawa nkasi, na betina na ndu gay. Hawa hata Kama kesho corona ikiwachukua hata Sasa hivi nitasherekeawatanzania wengi hasa wale wanaojiita wawakilishi wa wananchi walitakiwa kuwa wamesafishwa na corona
Ni katika mjadala wa waandishi kwenye kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari.
Pascal anasema bajeti ya nchi inatakiwa kuwasilishwa kitaaluma lakini juzi waziri wa fedha Dr Mpango ametumia muda mwingi katika kusifu ukilinganisha na kuifafanua bajeti.
Mwandishi Moses Methew alimpinga Pascal kwa madai kuwa Dr Mpango alizitumia vizuri dakika 60 za mwanzo hivyo hakuna ubaya wowote kutumia dakika 135 zilizobaki kusifiana.
Moses amesema hata Pascal Mayalla mwenyewe katika dakika 10 alizopewa kwenye mjadala huu ametumia dakika 7 katika kusifu na mgeni wake kamwachia dakika 3 tu.
Katika kujibu Pascal amedai yeye husifu kimantiki siyo kama wafanyavyo wale Mataga na wala hatafuti Uteuzi kama rafiki zake wa Jf wanavyomzushia.
Mwisho mwandishi Moses Methew amevilaumu vyombo vya habari na bunge kwa kutumia muda mwingi kujadili mambo binafsi na faragha za Mbowe.
Amesema inasikitisha kuona bunge zima linajadili " maisha binafsi " ya Mbowe kana kwamba Mbowe ndio bajeti ya serikali.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Maisha ya mtu wapi? Chadema sindio walioanza kupereka maisha ya mbowe kujadiriwa? Kuna mtu yyte alianza kusema mbowe alilewa? Mbowe alikuwa kwa kimada chake?
Wajiraumu wenyewe , maana hawakufanya utafiti wakutosha kabla ya kutoka hadharani.
Nilishaga waambia Harakati ni tofauti na Siasa, chadema Siasa wamezishindwa wamegeuka kuwa kundi la wanaharakati ndani ya siasa
Nawashauri chadema wakae chini na wakubariane na matokeo ya 3 bila.
Wajipange upya kwa kufumua mfumo mzima wa siasa zao na utawala ndani ya chadema.
Ova.
Mbona mkulu kazaa na Shemeji yake watoto wawili na akamzawadia cheo cha ukurugenzi huko morogoro, wabunge wa ccm hawajadili hii? Wambie wajadili ya mkulu kumpiga mkewe akalazwa muhimbili, wajadili na michepuko ya wabunge wa ccm kwani file zao zipo chadema piaKuna mbunge kujadili maisha binafsi ya Mbowe kama Mbowe. Na kuna maisha binafsi ya Mbowe kama KUB ambae ni kiongozi wa umma. Sasa kama kiongozi wa umma ndio anaruhusiwa kulewa chakari na kula bata na vimada, sijui kama inakubalika.
Kwani paskal mayala hajui kuchepuka?ilikuaje akachanganywa na mwanamke wakati wanawake wapo wengi wamejaa teleNamuona Pascal Mayala anarudi katika maisha ya kawaida, Huyo Jmaa aliwahi kuishi katika maisha ya stress za kimapenzi kwa mda sana, kupenda ni kubaya.
Waziri wa Fedha tena akiwasilisha bajeti ya nchi hapaswi kutoa sifa za kuhudhuria misiba, kuwaona wafungwa, kushiriki michezo, kwenda makanisani nk na kuonesha mh Rais ni kiumbe cha kipekee. Akikuwa amebakiza kidogo sana kuinama chini na kumsujudia Rais.
Tujifunze kupongeza vitu na kusonga mbele. Ni ajabu mpk sasa tunazungumzia bwawa la umeme, ndege, SGR, elimu bure, uhakiki wa wafanyakazi. Ilitosha kupongeza mambo hayo wakati yalipoanza. Tujifunze tunapoanza au kukamilisha jambo fulani, lingine hutokea au mahitaji huenda ngazi nyingine ya juu. Ni vema kusifia lakini si vema kutumia nguvu zote kusifia na kushindwa hata kuona mambo mengine.
Rais amefanya mambo mazuri, tumsifie kidogo na tumuoneshe mahitaji mengine hata kama itabidi kumkosoa kwa namna alivofanya aliyoyafanya tayari.
Ukimsifia sana mtu, unakosa uhalali wa kumwambia amekosea. Unaanza kumwogopa!! Huenda hizi sifa ni uoga!!
Hakuna mapungufu yoyote kwenye kujadili bajeti hii ya 2020-2021. Wapunge kwa ujumla wamepongeza na kusifia kile serikali imekifanya ndani ya miaka minne na nusu. Serikali imeimarisha kila sekta.Miundo mbinu,afya,elimu, nishati na madini. Kwa hiyo hakuna pa kukosoa ni kusifia tu.Na 2020-2021, ni muendelezo huo huo.Kwanza we ni shujaa, kama umeweza kuangalia mpaka ukajua hayo mapungufu. Mimi hicho kinyaa hata nikikuta mtu anaangalia namdharau sana.
Nonsense.Mbona mkulu kazaa na Shemeji yake watoto wawili na akamzawadia cheo cha ukurugenzi huko morogoro, wabunge wa ccm hawajadili hii? Wambie wajadili ya mkulu kumpiga mkewe akalazwa muhimbili, wajadili na michepuko ya wabunge wa ccm kwani file zao zipo chadema pia
Mbona che nkapa alikuwa analewa ikulu, hatujaona kumjadiri?Kuna mbunge kujadili maisha binafsi ya Mbowe kama Mbowe. Na kuna maisha binafsi ya Mbowe kama KUB ambae ni kiongozi wa umma. Sasa kama kiongozi wa umma ndio anaruhusiwa kulewa chakari na kula bata na vimada, sijui kama inakubalika.
NonsenseHakuna mapungufu yoyote kwenye kujadili bajeti hii ya 2020-2021. Wapunge kwa ujumla wamepongeza na kusifia kile serikali imekifanya ndani ya miaka minne na nusu. Serikali imeimarisha kila sekta.Miundo mbinu,afya,elimu, nishati na madini. Kwa hiyo hakuna pa kukosoa ni kusifia tu.Na 2020-2021, ni muendelezo huo huo.
Mkapa aliwahi kupigana na mkewe ikulu akamuchakaza mguuMbona che nkapa alikuwa analewa ikulu, hatujaona kumjadiri?
Haya Mambo mazuri yaliyofanywa na magufuli yapo nchi hii hii ya Tanzania?Waziri wa Fedha tena akiwasilisha bajeti ya nchi hapaswi kutoa sifa za kuhudhuria misiba, kuwaona wafungwa, kushiriki michezo, kwenda makanisani nk na kuonesha mh Rais ni kiumbe cha kipekee. Akikuwa amebakiza kidogo sana kuinama chini na kumsujudia Rais.
Tujifunze kupongeza vitu na kusonga mbele. Ni ajabu mpk sasa tunazungumzia bwawa la umeme, ndege, SGR, elimu bure, uhakiki wa wafanyakazi. Ilitosha kupongeza mambo hayo wakati yalipoanza. Tujifunze tunapoanza au kukamilisha jambo fulani, lingine hutokea au mahitaji huenda ngazi nyingine ya juu. Ni vema kusifia lakini si vema kutumia nguvu zote kusifia na kushindwa hata kuona mambo mengine.
Rais amefanya mambo mazuri, tumsifie kidogo na tumuoneshe mahitaji mengine hata kama itabidi kumkosoa kwa namna alivofanya aliyoyafanya tayari.
Ukimsifia sana mtu, unakosa uhalali wa kumwambia amekosea. Unaanza kumwogopa!! Huenda hizi sifa ni uoga!!
Hakuna mapungufu yoyote kwenye kujadili bajeti hii ya 2020-2021. Wapunge kwa ujumla wamepongeza na kusifia kile serikali imekifanya ndani ya miaka minne na nusu. Serikali imeimarisha kila sekta.Miundo mbinu,afya,elimu, nishati na madini. Kwa hiyo hakuna pa kukosoa ni kusifia tu.Na 2020-2021, ni muendelezo huo huo.
Kwani mkulu hutumia pesa zake binafsi au pesa za watanzania?Haya Mambo mazuri yaliyofanywa na magufuli yapo nchi hii hii ya Tanzania?