Tatizo chujio letu limetoboka mkuu, tukifanikiwa hapa pumba zote hazitaingia bungeni. Tuanzeni na hizi sheria za uchaguzi + tume huru ya uchaguzi.. Makapi yote + waimba mipasho + praise & worship (walamba miguu) hawataingia Bungeni..Watanzania tuamke tuchague viongozi wenye hoja sio waimba ngonjera za kusifu na kuabudu..Nimegundua bunge la Tz ni la hovyo Afrika mashariki na kati.Bajeti imesomwa badala ya kuchambua na kuishauri serikali nimeona 85% ya wabunge wanasifia mpk kinyaacunaona hyu ni empty set,wanatoa vijembe,wanashindana kijinga kasoro 25% ndio wanaongea kisomi
Tizameni bunge la kenya linavyojadili bajeti unafurahi mwenyewe