Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Amani kwenu nyote

Yesu Kristo alipofufuka kwa wavu mara baada ya kulala Karubini kwa siku 2, alifufuka siku ya 3 na neno lake la kwanza wa binadamu wenye hofu na mashaka ni Amani iwe kwenu...Peace on Earth. Aliwatakia amani mitume wake kwa sababu walikuwa wanatafutwa na utawala wa Rumi kama walivyomkamata yeye (Yesu) na kumtesa kwa kisingizio cha kujitangazia ufalme wa Uyahudi

Takribani siku 5 hivi kumeibuka mijadala mikubwa ikiwahusisha viongozi wakubwa wa Kisiasa kujibu HOJA za CAG hasa ile ya Trilion 1.5 ambayo CAG ameshindwa kuona matumizi yake wala viambatanisho wakati yatari imetumika.
Kwa kuwa Paschal Mayalla ni mchambuzi mzuri wa ukweli - Truth na kwa kuwa haogopi kuisema kweli popote kwa sababu itatuweka huru nasi tutakwa huru kweli nimeona ni vyema kuulizia afya yake maana hajasomeka maoni yake nasi wasomaji wake waaminifu hasa tuliosoma naye tumeshidwa kujua ukimya wake maana yake nini?
Trilion 1.5 kukosa maelezo kulitosha kabisa kumwajibisha mlipaji Mkuu wa hazina kwa sababu ndiye anayeidhinisha malipo yote ya serikali; HAIWEZEKANI ,HAIKUBALIKI na HAIVUMILIKI Mkuu wetu wa Nchi anayefnaya juhudi kubwa kwa maarifa yote kuijenga Nchi na kuinyoosha aje aaibishwe kwa kashifa kubwa namna hii.
Hivyo basi naombeni aliye karibu na Paschal amwambie aje ajibu hoja naye, aeleze msimamo wake upo upande gani? maana tumeshamsikia CAG,ZZK, Polepole na bado wale wa upande wa Pili, labda ndio wamezikwapua? Kimya chao kinatoa tafsiri gani?

Dunia itakuwa mahali pa hatari kuishi kama wale wema watakaa kimya dhidi ya ubaya unaotendwa
Martin Luther King Jr aliwahi kusema kuwa Ni mwanga tu ndio wenye uwezo wa kuondoa Giza na kamwe giza haliwezi kuondolewa kwa kuongeza giza nene

Bill Graham naye alisema kuwa Mwanga wa muhimu sana ni ule mdogo utakaokusaidia kumwona Nyoka karibu na Miguu yako
Kila akikumbuka aliko Sugu mikono inatetemeka anashindwa kuandika!
 
1.5trilion inatisha ndyo mana kina sugu wapo ndani kisa nikuwanyamazisha nakuwaogopesha wengne wasipaze sauti zao
 
pascal Mayalla...hii ndio sababu inayopelekeaga "lile gazeti unalosemaga kuwa linamtukana Jiwe "" Liwe linaona umuhimu wa kufanya vile ijapokuwa huwa unaona kuwa hawatendi vyema "" nadhani ukirejea toka huko "" utakuwa unakubaliana na hiki nilichokwambia ..nakile wanacho kiwasilisha wale waandishi wa lile gazeti ""
 
Mwisho wa ugomvi wa Mwalimu na Mwanafunzi ilikuwaje? Nitashukuru ukimalizia

Baadaye mwl. alishauriwa na kamati ya nidhamu kuwa wote (yeye na mwanafunzi) walikuwa na makosa. Kwamba hata kama mwanafunzi alikuwa na makosa, angemwadhibu kwa taratibu zilizowekwa kisheria. Pia nahisi walimu wenzake watakuwa walimsaidia kufundisha kwa approach tofauti na ile ya awali maana lesson derivery ili improve sana.

Lakini pia mwanafunzi aliombwa amuombe msamaha mwalimu ili asijisikie vibaya, kitu ambacho mwanafunzi alifanya na maisha yakaendelea.

Funzo kubwa la mi kuandika hivi, ni ile nukuu ya Headmaster. Viongozi wetu hawataki kuoneshwa kule wasipoona. Wanafikiri vyeo vyao ni vya milele. Ndiyo maana wanakuwa na viburi vya kunyayasa, kukejeli na kudharau wenzao!
 
Yaani bunge limekosa kazi? Mbona jana Bashite kawazodoa wabunge waliokosoa kampeni yake ya umbeya na hawajamfanya chochote?
 
Back
Top Bottom