Akizungumza katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari mwandishi nguli
Pascal Mayalla amewataka TCRA kuwafuatilia wale wanaoandika uchafu kwenye mtandao wa Twitter na kama wameshindwa basi waufungie mtandao huo hapa nchini.
Na kama hayo yote hayawezekani basi Watanzania wazalendo wajulishwe ili waanze kuwaelimisha hao wachafuzi huko huko twittani.
Chanzo: Star TV
My take: Pascal Mayalla anafaa kuwa Msemaji mkuu wa serikali
Maendeleo hayana Vyama!
====
Alichokisema
Pascal Mayalla ni kuwa wamewaandikia barua TCRA ili wajue kuhusu mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii hasa twitter, kuwa tumeshindwa, hii ni kwa kuwa mambo yanayoendelea huko yanakarahisha. Ili kama tumeshindwa basi tuhamasishane kutosoma yanayoendelea twitter
View attachment 1533655