Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Kwa hiyo ushauri wa Pascal Mayalla umezingatiwa au siyo? Urithi wakati mwingine unalipa hasa ule wa fuata nyayo...poleni wahanga wote popote mlipo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli nimsikitikia kaka yangu Pascal Mayalla nimiongoni mwa watu walionivutia kujiunga Jf, lakini kiukweli amekua kituko nbele yamacho yawenye akili. Mwenyezimungu atujalie mwisho ulie mwema, namwisho wangu naomba usiwe huu kama wa Pasco.Kwa hiyo ushauri wa Pascal Mayalla umezingatiwa au siyo? Urithi wakati mwingine unalipa hasa ule wa fuata nyayo...poleni wahanga wote popote mlipo!
Pascal ni mzalendo kweli kweliNaamini Pascal ana akaunti twitter awafuate huko huko akawajibu kwa hoja.
Kwataarifa yako hiyo ni syndicateYawezekana Kigogo 2014 asiwe tatizo. Tatizo kubwa ni wanaomfuata kumsifu na kumtia moyo ktk habari zake zote zenye nia ya kuangamiza taifa.
Nasubiri siku nisikie anawatusi kuwaponda na kuwadhalilisha wazazi wake ndio nitaamini jamaa haangalii sura na hayuko bias kweli.
NONSENSE!Yawezekana Kigogo 2014 asiwe tatizo. Tatizo kubwa ni wanaomfuata kumsifu na kumtia moyo ktk habari zake zote zenye nia ya kuangamiza taifa.
Nasubiri siku nisikie anawatusi kuwaponda na kuwadhalilisha wazazi wake ndio nitaamini jamaa haangalii sura na hayuko bias kweli.
Msamehe bure hajui alitendalo.Kiukweli nimsikitikia kaka yangu Pascal Mayalla nimiongoni mwa watu walionivutia kujiunga Jf, lakini kiukweli amekua kituko nbele yamacho yawenye akili. Mwenyezimungu atujalie mwisho ulie mwema, namwisho wangu naomba usiwe huu kama wa Pasco.
[emoji23][emoji23]hata hyo moja sijui aliipataje
Sasa hapa ni China?China walishaifungia muda mrefu tu. Na wala hakuna tatizo . P . Mayalla yupo sawa kabisa.
Uzalendo sio kuiunga mkono serikali iliyoko madarakani.Pascal ni mzalendo kweli kweli
Are you a follower of Kigogo? Be careful you're lost my friend. You can't be gentleman for just ignoring everybody in the society. In the end you will come to realize that the problem is yourself and not that society.NONSENSE!
NONSENSE!NONSENSE!
NONSENSE!!Are you a follower of Kigogo? Be careful you're lost my friend. You can't be gentleman for just ignoring everybody in the society. In the end you will come to realize that the problem is yourself and not that society.
Go and use wisely your vote this morning that's only means to confess before our beautiful nation Tanzania.
Naona walichukua hili wazo na limefeli.
Hoja hata kama ya kipuuzi huifungi mdomo bali unaijibu.
Mbili Matusi si sababu ya kufunga mitandao bali ni kiashiria cha udhaifu wa mfumo wetu wa kulea vijana katika kipindi cha kuwapa maarifa (shule na vyuo), kuwakuza (familia, jamii na dini). Suluhisho ni proper social engineering (tuingie humo tukiwa na suali hili tunataka kijana anayezaliwa leo awaje miaka 23 ijayo katika jamii, soko la ajira la ndani na nje, ulimwengu wa technology, ujasiriamali n.k.) na si kufunga mitandao.
Wamezoea udikteta usukumani pascal Mayala ndio maana wanataka kila kitu kifungwe.Akizungumza katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari mwandishi nguli Pascal Mayalla amewataka TCRA kuwafuatilia wale wanaoandika uchafu kwenye mtandao wa Twitter na kama wameshindwa basi waufungie mtandao huo hapa nchini.
Na kama hayo yote hayawezekani basi Watanzania wazalendo wajulishwe ili waanze kuwaelimisha hao wachafuzi huko huko twittani.
Chanzo: Star TV
My take: Pascal Mayalla anafaa kuwa Msemaji mkuu wa serikali
Maendeleo hayana Vyama!
====
Alichokisema Pascal Mayalla ni kuwa wamewaandikia barua TCRA ili wajue kuhusu mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii hasa twitter, kuwa tumeshindwa, hii ni kwa kuwa mambo yanayoendelea huko yanakarahisha. Ili kama tumeshindwa basi tuhamasishane kutosoma yanayoendelea twitter
View attachment 1533655