Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Mind is a terrible thing to waste!Mwandishi wa habari huyu.
Yaani wakati waandishi wa habari Duniani kote wanapambania Uhuru wa habari, na kwa kuzingatia hali halisi nchini ambapo waandishi wanabanwa sana.
Yeye anakuja kuongea utopolo wa namna hii.
Twitter ni kama JF, kikubwa ni uhakika wa habari na habari ziwafikie watu.
Pascal Mayalla kwa hili umeharibu sana, na utapoteza watu wengi wanaokufatilia.
Usishangae mavipindi yako yakabaki kutizamwa na Lumumba tu.