Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

ili sukuma uwa ni fala fulani
 
Na amesikilizwa!!
 
Yani huyu ameshakuwa mateka kifikra, kimwili hata kiroho!
 
Njaa mbaya sana, usiombe ikuweke kwenye kona. Utaomba po.
 
Kaburi haa haa ila technology hii beberu miaka 200 hatumfikii!
 
Hivi kuna media yeyeto haina mambo machafu, labda usiingie kwenye technology ya mawasiliano. Utazuia twitter utayakuta kwenye bongo movie, bongo flavor, youtube nk
 
Sema anakipaji cha kujenga chuki. Akiamua kujenga chuki huwa anakuja na bandiko refu kama utawala fulani halafu anajifanya anasaidia kumbe nia yake kujenga chuki.
Tususe hoja zake,Pascal anaweza kuwa mateka wa wasiojulikana and is possessed or doomed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…