Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020

Mkuu Zawadi Ngoda, kiukweli jf ni kubwa sana!, huwezi amini, huu uzi ndio nauona leo!. Thanks, I feel honored!.
Na kuhusu Samia, sio uzi huu tuu pekee nilimzungumzia,
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!

Samia nilianza nae 2010 kwenye uzi huu
Ndipo nikaja hapa
Pia hapa
Nilimzungumzia Samia

Ni katika kunikumbusha tuu, hotuba ya Rais Samia UN, imezidi kudhihirisha I was dam right nilipoyasema haya!.

P
 
Huyu Pascal Mayalla nimjuzi
Sana isipokuwa Utawala wa the late was iron rule
Mkuu Haya_Land, Its true, ulikuwa ni utawala wa mkono wa chuma, ila pia sio tuu umetunyoosha, bali pia umetufunza nidhamu ya matumizi, hakuna tena kushinda viti virefu, wala mlolongo au foleni za mpango kando!, tumerejea kwenye zéro graizing!. Tumenyooka, sasa tunaiheshimu pesa!, hivyo JPM ashukuriwe na apumzike kwa amani.

P
 
Na mm nakumbuka comrade Pascal Mayalla ndio alikuwa mwandishi wa kwanza pale nyumba nyeupe kuulizia katiba mpya kipindi mpendwa wetu jpm ana anza urais wake...sasa sijui safari hii ata semaje kama mm ata iitisha mikutano na mediaz
Mkuu luangalila , asante kukumbushia
P
 
Pia ndio alieleta uzi humu mwaka 2014 unaozungumzia kuwa raisi wa awamu ya 5 mwaka 2015 anaweza kuwa Magufuli. Na kweli baada ya uchaguzi Magufuli ndio alikuja kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwahiyo ni kweli jamaa ana maono
Mkuu Dudumizi, asante kukumbushia
P
 
Pascal Mayalla yule jamaa ni kichwa sana, sijui ni nini kilimtokea. Ni kati ya watu wachache ninao waheshimu kwa namna ya pekee humu JF.
Ana maono sana.
Mkuu Consigliere , asante kuniaminia na kuniheshimu, naomba uendelee kuniaminia vile vile, Pasco ni yule yule ila anabadilika kutokana na wakati, zama na mazingira.

P
 
Mwamba Pascal Mayalla yupo vizuri. humu JF nimemsoma toka 2011 huko na kabla ya hapo nilimfuatilia kwenye vipindi vyake "live" kwenye runinga. Jamaa anajua. Anatafiti Kwa kina kabla hajajaza wino kwenye karatasi.

Hongera sana mkuu Pascal Mayalla . Shikilia hapo tu!
 
Pasco unapendaga sifa za kijinga kuna watu walitabiri mapema kabisa kuwa JPM ndio atakua rais 2015 angalia hii thread
 
Mkuu ukweli lazima usemwe bila kujali wale watakaoumizwa na ukweli huu.
 
Mkuu ukweli lazima usemwe bila kujali wale watakaoumizwa na ukweli huu.
Mkuu Mr Dudumizi , I'd like to differ, sio kila ukweli ni lazima usemwe, ukweli mwingine ni ukweli mchungu wa hatari, ukisemwa badala ya kujenga, unabomoa!. Ukweli ambao ni lazima usemwe ni ule ukweli ambao ukisemwa utasaidia. Hivyo kabla ya kuusema ukweli wowote, unaufanyia objectivity test kwa kujiuliza, jee ukweli huu ukisemwa utasaidia?, utayajenga au utabomoa na kuharibu?. Je ukweli huo una maslahi kwa taifa au majanga?. Baada ya kupata majibu hayo, unajifanyia self censorship na kumua au kusema au kunyamaza na kupotezea!.

P
 
Nimekupata vizuri mkuu Pascal Mayalla, na pia shukran kwa elimu iliyonipa mkuu.
 
Huyo ni mhusika mmojawapo katika kilichotokea aombe Mungu huko mbeleni atayasema tu yaliyokuwa gizani; usipumbazwe na mabandiko yake anayoyaleta kimafumbo mara Karma is a bitch nk. Watu wanataarifa nyingi tu ambazo ndizo zitamaliza mchezo wa shina la njama ovu.
 
Duh na wewe kumbe ni mnafiki! Sikujua Hilo. Ulimsifu Sana jpm kuwa ni masihi mpaka ukaunga juhudi, Sasa unajiweka Tena kwa Mana akuone. Hivi huiamnj kabisa kuwa unaweza kuishi bila kulamba lamba watu?
Karibu mitaa hii.
P
 
The guy is fantastic

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…