Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

Mayalla aendelee tu na kuhoji watu kwenye maonyesho mbalimbali huu utawala wa mwendazake naye ulimfanya aonekane asiyefaa kama ambavyo amesema Bashiru hatainuka tena ndivyo ilivyo kwake pia ndiyo kaisha hivyo
 
Ni maono ya ndugu yetu Pascal Mayalla kwa ndugu Bashiru. Na ana amini Bashiru alikua chaguo sahihi kwa nchi ila alichukiwa na wengi ndani ya CCM sababu alitoka from nowhere, ila alikua kipenzi cha Mwendazake
Anamaanisha Magufuli yuleyule aliyekua Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Yule yule!?
 
Dr. Bashiru Ally Kakurwa...rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2025....[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2839][emoji2839][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827] !!! Mipango ya mtu mwana adamu si ya Mungu muumbaji
 
Habari wana JF ,
Mwanahabari nguli Bw Pascal Mayala akiongea na Radio Dw ya Ujerumani mchana huu amekaririwa akisema anauhakika Marehem Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli alimuaandaa kumkabidhi nchi mnamo mwaka 2025 aliyekua Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi na katibu mkuu kiongozi aliyetenguliwa uteuzi wake Na Rais Samia Hassan Suluhu ,ndugu Bashiru Ali Kakurwa ambapo ameapishwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Kwenye maelezo yake amesikika akisema amepanda ngazi kwa haraka sana katika kipindi cha Dr Magufuli kwa itikadi yake ya Ujamaa ya Mwl Julius Nyerere ambayo ilimfurahisha Mteule wake Hayati Dr Magufuli .

Pia kupanda kwake kisiasa kulimtengenezea maadui ndani na nje ya Chama hivyo anasema kwa sasa itakua ngumu sana kurudi juu kisiasa kipindi hiki cha Rais Samia Hassan Suluhu.

Ni suala la kusubiri na kuona ... wakati ni shahidi mzuri !
 
Mayalla aendelee tu na kuhoji watu kwenye maonyesho mbalimbali huu utawala wa mwendazake naye ulimfanya aonekane asiyefaa kama ambavyo amesema Bashiru hatainuka tena ndivyo ilivyo kwake pia ndiyo kaisha hivyo
There's always next time... Pascal can somersault and make unexpected come back!!!
 
Back
Top Bottom