Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

Mkuu Paschal Mayalla sasa mbona katika maelezo yako unapiga kona wakati Awali ulisema ni penalty. Wewe mwenyewe umeonyesha kumpenda Bashiru awe Rais wako 2025 kwa kuwa ni Mnyerere sana ni Mjamaa mzuri sana. Mwishoni una maliza kutomuunga mkono.
Kifupi nami niseme, huo ujamaa mnaouzungumzia ni muendelezo wa roho mbaya. Haiwezekani miaka yote watu muishi na Mikanda kiunoni wakati wachache wanaishi maisha ya peponi. Waliyoyafanya akina Kinana na hao wakubwa zake inatosha.
 
Alafu kakosa uteuzi, nilijua ipo siku atakumbukwa ila wapi
 
Pascal Samia Rais mzuri kuliko Magufuli , acha kujikomba kutafuta uteuzi. Samia is no better than any Dictator on Earth
 
Marehemu alikuwa anatuandalia watu wa ajabu ajabu .. eti Makonda awe waziri mkuu, Sabaya awe waziri mambo ya ndani - kutakuwa na nchi hapo ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…