Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Basi na asimwache kupambana mwenyewe ,aongeze juhudi kushirikiana na kadi mwenzie kukijenga chama chetu.Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote .
Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima.
Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe .
Mkumbuke mkuu...Pascal Mayalla ndo chawa mwenye maumivu makali kuliko wote.
Sio kweliAmeanza Kujikomba Na Kutafuta Connection, Chawa Ni Wengi Kama UDOM
Sabaya nae yuko jikoni..Ni suala la muda tu.Lilikuwa ni suala la muda tu Paul Makonda kurudi kwenye uongozi
Pascal Mayalla ndo chawa mwenye maumivu makali kuliko wote.
Chadema wajiandaeLilikuwa ni suala la muda tu Paul Makonda kurudi kwenye uongozi
Kumjua kivipi?Hamumjui vizuri paschal...
Mayalla ni kipimo cha Uidiot wa Wasomi wa Tanzania katika kuendekeza Ukabila.
Pongezi zote hizo na kusifia sifia Msukuma mwenzake mwenye vyeti feki.
Hahitaji kujipendekeza Kwa yeyote..Hana njaa hizo mnazo dhaniKumjua kivipi?
Umefahamuje hayo?Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote .
Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima.
Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe .