Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,089
- 4,816
Serikali imuone na mzee wetu Paschall.
Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote .
Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima.
Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe .