Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza

Ilikua lazima kudaiveti suala la kusaini mikataba ya dp world kwend asehemu nyingine...
Kama kawaida wale wengi ambao ni wapinzani na anti jpm wamesahau hoja yao ya dp world sasa wako bize na makonda...
Very easy kucheza na mentality za wabongo...!!
 
Kama ambavyo ilinenwa ya kuwa waache wafu wakawazike wafu wenzao vivyo hivyo waache vilaza wakawapongeze vilaza wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…