Mkuu kwani we hukushiriki kumchagua kwenda kukuwakilisha?Mimi sijamtuma aniwakilishe. Je huyu jamaa ametumwa na Nani? Hadhi ya mwakilishi ameipataje?
Weka tangazo la uwakilishi tulisome kwa pamojaMkuu kwani we hukushiriki kumchagua kwenda kukuwakilisha?
Pascal Mayalla ni verified userKwani kuna Mwakilishi officially ?!!! Ukizingatia humu wengi ni anonymous....
Anyway mtu unaweza ukawa self appointed; na yeye kama anapenda kuonyesha domicile yake binafsi sioni shida na nadhani mara nyingi huwa hasemi Pascal mwakilishi wa JF (Na kama anasema huenda uongozi umemtuma kuchukua news) ila huwa anasema Pascal wa JF..., huenda anatofautisha na yule Pascal wa FB au Kijiweni....
Ni hayo tu.., ila huu muda tungetumia kupinga alichosema kama hakifai na sio kumu attack binafsi hence kujaribu kumziba mdomo (Sisi tunaogombania Uhuru / Demokrasia huenda ndio madikteta wa kutupwa)
Hapana,uzee unampeleka puta tu!Apigwe ban
Being verified its a choice kama vile ilivyo kuwakumbusha watu kwamba mimi hapa ninayeongea ndio yule aliyepo Jamii Forums ambaye ni verified...,Pascal Mayalla ni verified user
Jamii Forums ina badala yenu ? JF ina Muwakilishi Officially ? Hata founder akisema kitu haimaanishi kinakubalika kwa wote ? Je ni kosa kuwa self appointed, Na kusema Fulani wa JF ni sawa ni kusema ninawakilisha watu wa JF, Au ukisema kwamba wewe ni Rais wa Mtaani kwenu does it mean hao watu walikuchagua ?Maxence Melo tunaomba hili lizingatiwe. Huyu jamaa hawezi kuwa badala yetu.
Unaandika mengi bila kuwa na point. Siyo mwakilishi wa JF.Jamii Forums ina badala yenu ? JF ina Muwakilishi Officially ? Hata founder akisema kitu haimaanishi kinakubalika kwa wote ? Je ni kosa kuwa self appointed, Na kusema Fulani wa JF ni sawa ni kusema ninawakilisha watu wa JF, Au ukisema kwamba wewe ni Rais wa Mtaani kwenu does it mean hao watu walikuchagua ?
Nadhani watu tunatoka kwenye point za maana ingawa mimi nimeamua nitoke kidogo sababu nimeanza kuanza tatizo la kuzibana midomo au personal attack sababu tu mtu haukubaliani na anachosema....
I might disapprove of he says, but I will defend to the death for his right to say it.
Alivyomuuliza JPM kuna watu walimsifia kwa kuwawakilisha vyema (leo hii huenda kasema yasikubaliana nanyi mnamshukia kama Mwewe); Achana na Pascal hata Samia anachokiongea does not necessarily mean ni watanzania hata awapo kwenye hafla ya wawakilishi wa Tanzania....
HakikaHiyo ni fraud anastahili kuwajibishwa!