Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Asante sana Mkuu Kipara, kipara kipya .Mwanachama mwenzetu akipata nafasi ya kutuwakilisha kwenye matukio makubwa na akipata nafasi ya kuchangia chochote ni vyema tukampongeza kwanza kwa ujasiri wa kujiweka public mbele ya kamera na watu wote hii si mara ya kwanza Paskal kujitokeza na kuuliza maswali magumu.
Haya maswali yake mara nyingi yamesababisha watu kulipukwa na moyo. Aliwahi muuliza swali JPM na ni hakika mpaka JPM anakufa hakuna mtu jasiri aliyewahi muuliza swali gumu na wengi wao walimpongeza na kumpa sifa...
Ila leo kisa kaulizwa Lissu, basi waliokuwa hawakupenda ule ushauri wa Paskali wamekuja juu zaidi ya Lissu aliyelengwa na lile swali..je ni wangapi wanaweza kujitokeza na kutaja id fake zao mbele ya kamera.....
wengi ni mahodari hapa kwenye vidole ujasiri mbele ya kamera au maandamano zero...
Muwache paskal atambe na ajinasibu na kujimwambafai na jukwaa lake pendwa mimi nimekubali kuwakilishwa....
Mnakataa udikteta kumbe baadhi yenu ni mqdokteta...paskal hongera na jf hongera kwa kutoa member smart na bright kutuwakilisha...
Paskal endelea na misumari ila mradi usivunje sheria ukaitwa kamati ya maadili kwa mara nyingine ...
Lissu ni nani asiulizwe? Tena ushauri mzuri tu apitie jukwaani kusoma hamuoni hata hayo mawazo yenu Lissu anaweza yasoma na kwenda kuyafanyia kazi!
P