Wewe ni mwanasheria , nikuulize swali jepesi unaamini uchaguzi huru ukifanyika na uchaguzi usio huru ukifanyika upi unatoa mwanya zaidi wa kuchochea machafuko.Nimezungumzia utopian politics, uchaguzi hauzuoliki!, huu ndio utopia wenyewe!
Kumbuka napozungumzia uchaguzi huru nazungumzia usimamizi wa uchaguzi kwa tume iliyo huru kimfumo na sio huru kwa jina.
Unaweza kuelezea fursa tano (5) CHADEMA itakazopata kwa kushiriki uchaguzi kupitia usimamizi wa tume hii hii iliyofanyia dhuluma 2020?An.
Ukisusa, sie twala!.
Kwenye maelezo yangu, nimesema uchaguzi wa 2025 ni bonge la fursa adimu na adhimu kwa TAL!.
P
Ukibisha nakuwekea na ushahidi wa video ambapo ballot papers zilikuwa pre -ticked na uwepo wa multiple voting.
Sasa ubishe kama ulivyobisha ile 2020 ukisema New York times inatumia diaspora kueneza chuki ,kwa akili zenu mkafikiri mkizima internet dunia haitojua giza linaloendelea Tanzania.