Pre GE2025 Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati

Pre GE2025 Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unaandika mengi bila kuwa na point. Siyo mwakilishi wa JF.
Wewe ndio appointee wa Wawakilishi ? Unajuaje kama pale hakuwa mdau wa kukusanya kilichojiri ili awape Utawala content ya kwenye blog zao, facebook n.k.; Unajua wote walio katika payroll ya hii platform ? Binafsi siwajui ndio maana nimempa benefit of doubt moja..., na mbili hata kama hayupo kwenye payroll kuna kitu kinaitwa self appointed.., kwahio on that token your point is void...
 
Labda tatizo lako ni Kiswahili, lakini wakili msomi Paskali yuko sahihi kabisa.

Kila memba wa JF ni mwakilishi wa JF. Acheni wivu. Wivu ni uchawi.

Halafu sidhani kama anasema anamwakilisha memba fulani humu - bali mwakilishi wa JF.

Kama alipaswa kulalamika mtu, basi ilitakiwa huyo awe Maxmelo!

Come on! Wake up guys! Emu twendeni tukamsaidie Zelenskyy kukataa kuburuzwa na Trump ili asalimishe madini!
 
Wewe ndio appointee wa Wawakilishi ? Unajuaje kama pale hakuwa mdau wa kukusanya kilichojiri ili awape Utawala content ya kwenye blog zao, facebook n.k.; Unajua wote walio katika payroll ya hii platform ? Binafsi siwajui ndio maana nimempa benefit of doubt moja..., na mbili hata kama hayupo kwenye payroll kuna kitu kinaitwa self appointed.., kwahio on that token your point is void...
Self appointed ndiyo tunaipinga. Ujinga anaofanya NI WAKE, siyo wetu wote na tuna haki ya kuweka sawa kuwa hatukumtuma
 
Jamii Forums ina badala yenu ? JF ina Muwakilishi Officially ? Hata founder akisema kitu haimaanishi kinakubalika kwa wote ? Je ni kosa kuwa self appointed, Na kusema Fulani wa JF ni sawa ni kusema ninawakilisha watu wa JF, Au ukisema kwamba wewe ni Rais wa Mtaani kwenu does it mean hao watu walikuchagua ?

Nadhani watu tunatoka kwenye point za maana ingawa mimi nimeamua nitoke kidogo sababu nimeanza kuanza tatizo la kuzibana midomo au personal attack sababu tu mtu haukubaliani na anachosema....

I might disapprove of he says, but I will defend to the death for his right to say it.

Alivyomuuliza JPM kuna watu walimsifia kwa kuwawakilisha vyema (leo hii huenda kasema yasikubaliana nanyi mnamshukia kama Mwewe); Achana na Pascal hata Samia anachokiongea does not necessarily mean ni watanzania hata awapo kwenye hafla ya wawakilishi wa Tanzania....
Kuna point umeigusa hapo ina mantiki sana ila wacha nione wachangiaji wote watakujaje!
 
Back
Top Bottom