KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Je wewe ulimtuma?Kwani akisema hivyo nyie mnaumia nini mbona mnaleta gubu za ajabu kwani ni ajabu wakuu muacheni mzee wa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je wewe ulimtuma?Kwani akisema hivyo nyie mnaumia nini mbona mnaleta gubu za ajabu kwani ni ajabu wakuu muacheni mzee wa watu
Umesema tuna gubu? Jamani, mwingine huyu🤒🥴Kwani akisema hivyo nyie mnaumia nini mbona mnaleta gubu za ajabu kwani ni ajabu wakuu muacheni mzee wa watu
Siku ile alipoambiwa Mayala kwa Kisukuma maana yake ni njaa hivi alimuuliza swali gani JPM mpaka akamjibu vile?
Wewe ndio appointee wa Wawakilishi ? Unajuaje kama pale hakuwa mdau wa kukusanya kilichojiri ili awape Utawala content ya kwenye blog zao, facebook n.k.; Unajua wote walio katika payroll ya hii platform ? Binafsi siwajui ndio maana nimempa benefit of doubt moja..., na mbili hata kama hayupo kwenye payroll kuna kitu kinaitwa self appointed.., kwahio on that token your point is void...Unaandika mengi bila kuwa na point. Siyo mwakilishi wa JF.
Mambo 😎😄😀😀Umesema tuna gubu? Jamani, mwingine huyu🤒🥴
🤣🤣Poa vp?Mambo 😎😄😀😀
Self appointed ndiyo tunaipinga. Ujinga anaofanya NI WAKE, siyo wetu wote na tuna haki ya kuweka sawa kuwa hatukumtumaWewe ndio appointee wa Wawakilishi ? Unajuaje kama pale hakuwa mdau wa kukusanya kilichojiri ili awape Utawala content ya kwenye blog zao, facebook n.k.; Unajua wote walio katika payroll ya hii platform ? Binafsi siwajui ndio maana nimempa benefit of doubt moja..., na mbili hata kama hayupo kwenye payroll kuna kitu kinaitwa self appointed.., kwahio on that token your point is void...
Kuna point umeigusa hapo ina mantiki sana ila wacha nione wachangiaji wote watakujaje!Jamii Forums ina badala yenu ? JF ina Muwakilishi Officially ? Hata founder akisema kitu haimaanishi kinakubalika kwa wote ? Je ni kosa kuwa self appointed, Na kusema Fulani wa JF ni sawa ni kusema ninawakilisha watu wa JF, Au ukisema kwamba wewe ni Rais wa Mtaani kwenu does it mean hao watu walikuchagua ?
Nadhani watu tunatoka kwenye point za maana ingawa mimi nimeamua nitoke kidogo sababu nimeanza kuanza tatizo la kuzibana midomo au personal attack sababu tu mtu haukubaliani na anachosema....
I might disapprove of he says, but I will defend to the death for his right to say it.
Alivyomuuliza JPM kuna watu walimsifia kwa kuwawakilisha vyema (leo hii huenda kasema yasikubaliana nanyi mnamshukia kama Mwewe); Achana na Pascal hata Samia anachokiongea does not necessarily mean ni watanzania hata awapo kwenye hafla ya wawakilishi wa Tanzania....
Itakuwa upotoshaji mkubwa maana misimamo ya Pascal Mayalla kisiasa ni ya kichawa, yaani ni pro ccm wakati jukwaa la JamiiForums ni neutral@Pascal Mayalla mara nyingi kwenye midahalo ya kisiasa umekuwa ukijitambulisha kwamba wewe ni mwakilishi wa @JamiiForums.
Yeah, hiyo fraud iko kwenye category ya Fraud by false representation! Ng'wanangwa, Mexence akiamua utafia jela! Bado tunakuhitaji porti!😁😁😂😂Hakika