Siku hizi hajifichi anafanya uchawa wazi waziMnafiki sana huyo jamaa. Halafu anatabia za kichawa sema anajificha ficha
Umenena vema mkuu. Mimi namshukuru sana kwa kuniwakilisha huko. Ingawa sijui amesemaje. Lakini kwa kuwa ni mtu mwenye weledi wa kutosha najua ameniwakilisha vema.Kwani kuna Mwakilishi officially ?!!! Ukizingatia humu wengi ni anonymous....
Anyway mtu unaweza ukawa self appointed; na yeye kama anapenda kuonyesha domicile yake binafsi sioni shida na nadhani mara nyingi huwa hasemi Pascal mwakilishi wa JF (Na kama anasema huenda uongozi umemtuma kuchukua news) ila huwa anasema Pascal wa JF..., huenda anatofautisha na yule Pascal wa FB au Kijiweni....
Ni hayo tu.., ila huu muda tungetumia kupinga alichosema kama hakifai na sio kumu attack binafsi hence kujaribu kumziba mdomo (Sisi tunaogombania Uhuru / Demokrasia huenda ndio madikteta wa kutupwa)
Kwani jf siyo CCM? Hebu weka uzi dhidi ya mama mungu uone. Baada uchawa kuwa sera, kuna hata taasisi chawa.Pascal Mayalla mara nyingi kwenye midahalo ya kisiasa umekuwa ukijitambulisha kwamba wewe ni mwakilishi wa JamiiForums.
JamiiForums ipi unayoiwakilisha, ilihali wewe ni kada wa CCM? Je, JamiiForums, ina mrengo wowote wa kisiasa?
Kama unaenda kwenye midahalo hiyo, jitambuloshe kwa jina la taasisi yako ya PRRRR.
Iwapo ukaendelea kufanya kutambulisho wa uakilishi wa JamiiForums, kuna watu watakaofanya mambo ya hovyo na kusema nao pia ni wawakilishi wa JF.
Tunaomba Maxence Melo akemee mara moja Jambo hili kwani linafanya JF ionekane ni Mali ya chama cha siasa
Kwishneii hamna hoja zaidi ya mihemko!Anatuwakilishaje yani???
Ccm wooote ni takataka kabisaaa
Member wengi tu wameunga mkono kwa ushauri wa kikombe cha moto alichompatia lissu!Nani alimchagua na ku.tuma?
Unaonekana una hoja lkn huinyoshi;Mwanachama member mwenzetu akipata nafasi ya kutuwakilisha kwenye matukio makubwa na akipata nafasi ya kuchangia chochote ni vyema tukampongeza kwanza kwa ujasiri wa kujiweka public mbele ya kamera na watu wote hii si mara ya kwanza paskal kujitokeza na kuuliza maswali magumu haya maswali yake mara nyingi yamesababisha watu kulipukwa na moyo..aliwahi muuliza swali jpm na ni hakika mpaka jpm anakufa hakuna mtu jasiri aliye wahi muuliza swali gumu na wengi wao walimpongeza na kumpa sifa...
ila leo kisa kaulizwa lissu basi waliokuwa hawakupenda ule ushauri wa paskali wamekuja juu zaidi ya lissu aliyelengwa na lile swali..je ni wangapi wanaweza kujitokeza na kutaja id fake zao mbele ya kamera..... wengi ni mahodari hapa kwenye vidole ujasiri mbele ya kamera au maandamano zero...
muwache paskal atambe na ajinasibu na kujimwambafai na jukwaa lake pendwa mimi nimekubali kuwakilishwa....
Mnakataa udikteta kumbe baadhi yenu ni mqdokteta...paskal hongera na jf hongera kwa kutoa member smart na bright kutuwakilisha...paskal endelea na misumari ila mradi usivunje sheria ukaitwa kamati ya maadili kwa mara nyingine ...lissu ni nani asiulizwe..tena ushauri mzuri tu apitie jukwaani kusoma hamuoni hata hayo mawazo yenu lissu anaweza yasoma na kwenda kuyafanyia kazi!
Hawana hoja hawatasusia ila watazuia uchaguzi hoja dhaifu watu wenyewe ndio hawa jukwaani id fake!Naunga mkono Hoja kwa asilimia mia Moja. Paschal Mayalla amekuwa akituheshimisha sana wana Jamii Forum. Shida ya wana CHADEMA uwezo wao ni Mdogo sana kihoja. Kwa hiyo ukiwaambia hoja tofauti na uwezo wao wa kufikiri au vile walivyo karirishwa na kukariri wanaanza kupiga makelele kama walevi. Wao wanataka muda wote Taifa zima liwaze na kufikiri katika namna wanavyofikiria wao utafikiri tumekuwa manyumbu au mambumbumbu.
Labda amewakilisha ma CHAWA wa Lumumba waliomo humu JamiiForums ila siyo members wenye mawazo huruHongera sana Pascal Mayalla kuliwakilisha vyema Jukwaa la JamiiForums